Mjane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|upright|''[[Valentina Visconti wa Milano akimuom...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Fleury-François Richard - Valentine of Milan Mourning her Husband, the Duke of Orléans.JPG|thumb|upright|''[[Valentina Visconti]] wa [[Milano]] akimuombolezea [[mume]] wake [[Louis I wa Orleans]]'', alivyochorwa na [[Fleury-François Richard]].]]
'''Mjane''' ni [[mtu]] aliyewahi kuwa na mwenzi wa [[ndoa]], halafu akafiwa asioe tena ama kuolewaasiolewe na mwingine.
 
Ni tofauti na yule asiyewahi kufunga ndoa (ambaye anaweza kuitwa vizuri zaidi [[mseja]] au, mkaperaakiwa [[mwanamume]], hata kapera, ingawa [[jina]] hilo la mwisho pengine linaelekea [[uhuni]] kidogo) na yule aliyetoa ama kupata [[talaka]] (anayeitwa mtaliki).
 
==Wajane wa kike==
Kutokana na [[ubaguzi wa kijinsia]], zamani wajane [[mwanamke|wa kike]] walikosa [[haki]] nyingi, inavyoonekana katika [[Biblia]]. ambayo[[Kitabu]] inawatajahicho cha [[dini]] kinawataja pamoja na [[yatima|mayatima]] kati ya watu [[maskini]] zaidi ambao [[Mungu]] ndiye mtetezi wao.
 
Pengine hali hiyo inadumu hata leo katika aina kadhaa za [[utamaduni]], kwa mfano huko [[India]].
 
== Tanbihi ==