Tofauti kati ya marekesbisho "2 Mei"

51 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{Mei}}
== Matukio ==
* [[1687]] - [[Reigen]], [[Mfalme Mkuu]] wa [[Japani]], anajiuzulu kwa ajili ya [[mwana]] wake [[Higashiyama]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1803]] - [[Albert Küchler]], [[mchoraji]] kutoka [[Denmark]]
* [[1991]] - [[Jung Jin-woon]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Korea Kusini]]
 
== Waliofariki ==
* [[373]] - [[Mtakatifu]] [[Atanasi wa Aleksandria]], [[patriarki]] [[Mkatoliki]] na [[mwalimu wa Kanisa]] nchini [[Misri]]
* [[1519]] - [[Leonardo da Vinci]], mchoraji na [[mwanasayansi]] kutoka [[Italia]]
* [[1979]] - [[Giulio Natta]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1963]])
* [[1997]] - [[John Eccles]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1963]]
* [[2011]] - [[Osama bin Laden]], [[mwanzilishi]] na kiongozi wa [[ugaidi|kundi la kigaidi]] la [[Al Qaida]]
 
[[Jamii:Mei]]