8 Mei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Mei}}
== Matukio ==
* [[1721]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa InnocentInosenti XIII]]
* [[1945]] - Mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] katika [[Ulaya]]: [[jeshi]] la [[Ujerumani]] linajisalimishalinasalimu amri
 
== Waliozaliwa ==
* [[1828]] - [[Henri Dunant]], (mwanzishi[[mwanzilishi]] wa [[Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]], mwaka wa [[1901]])
* [[1884]] - [[Harry S. Truman]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1945]]-53[[1953]])
* [[1902]] - [[André Lwoff]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1965]]
* [[1925]] - [[Ali Hassan Mwinyi]], Rais wa pili wa [[Tanzania]]
* [[1945]] - [[Keith Jarrett]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[1954]] - [[John Michael Talbot]], [[mwimbaji]] [[Mkristo]] kutoka [[Marekani]]
* [[1975]] - [[Enrique Iglesias]], mwimbaji kutoka [[Hispania]]
* [[1975]] - [[Mohamed Gulam Dewji]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Tanzania]]
* [[1978]] - [[Baraka Makaba]], [[mtayarishaji wa filamu]] kutoka [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[535]] - [[Papa Yohane II]]
* [[685]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Benedikto II]]
* [[2007]] - [[Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud]], [[mwana]] wa [[Mfalme]] wa [[Saudia]]
 
[[Jamii:Mei]]