Tofauti kati ya marekesbisho "Meno"

21 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
 
=== Kuoza kwa meno ===
[[Kuoza kwa meno]].
 
Chakula cha hatari kwa meno ni baadhi ya kile chenye [[kabohidrati]] hasa aina za [[sukari]]. Kikiachwa [[kinywani]] huganda kwenye uso wa meno kama ganda la mashapo. Katika mashapo haya kwenye meno huishi bakteria zinazoendelea kula mabaki ya vyakula ndani yake zinastawi vema hasa kwenye sukari iliyomo hapa. Bakteria hizi zinatengeneza [[asidi]] inayoshambulia enameli cha kichwa cha meno na pia mfupa wa dentini. Kwa njia hii vitundu vinaweza kutokea. Vikienea hadi [[fofota]] ya jino neva ndani yake hailindwi tena iko wazi na maumivu ya jina yanaanza. Hatimaye [[neva]] itaoza na kufa kabisa. Hapa maumivu hutulia kabisa. Lakini usikubali kudanganywa. Kwa njia ya mvungu hata nafasi inayozunguka ncha ya jino itashambuliwa, na vijidudu vitaenea hadi kwenye utando wa ule mfupa na hatimaye kusababisha [[jipu]] na madhara mengine [[kinywani]].
 
90

edits