Hiroshima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|300px200px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]
[[image:Hiroshima 1999 01.jpg|Hiroshima 1999]]
'''Hiroshima''' ni mji katika [[Japani]] mwenye wakazi milioni moja. Iko kwenye kisiwa cha [[Honshu]].
 
Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa [[bomu ya nyuklia]] tar. [[6 Agosti]] [[1945]]. Ndege ya kivita ya [[Marekani]] ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na [[mnururisho wa kinyuklia]]. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.