Emilia wa Vialar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Mt. Emilia wa Vialar. '''Emilia wa Vialar''' (kwa Kifaransa '''Émilie de Vialar''', 17971856) alikuwa mta...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Emilia wa Vialar''' (kwa [[Kifaransa]] '''Émilie de Vialar''', [[1797]]–[[1856]]) alikuwa [[mtawa]] [[Mfaransa]] aliyeanzisha shirika la ki[[misionari]] la [[Masista wa Mt. Yosefu wa Njozi]].
 
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]]. Alitangazwa [[mwenye heri]] na [[Papa Pius XI]]
tarehe [[18 Juni]] [[1939]], halafu mtakatifu na [[Papa Pius XII]] tarehe [[24 Juni]] [[1951]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[24 Agosti]].
 
==Maandishi yake==