Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
'''TX Moshi William ('''jina halisi Shaban Ally Mhoja Kishiwa) alikuwa mmoja wa wanamuziki mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki dunia [[29 Machi]] [[2006]] na kuacha mke mmoja na watoto wanne na aliweza kurekodi albamu 13. Kwa miaka mitatu mfululizo, Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora (2003, 2004, 2005.)
 
Moshi William alijiunga na bendi kongwe nchini Tanzania [[Juwata Jazz Band]] mwaka 1982 akitokea Bendi ya Polisi JazzjJazz,,mwanamziki huyo alijipatia umarufu mkubwa kwa kutunga nyimbo zilizokua na mafunzo katika jamii mfano wa nyimbo kama ashibae,mwaka wa watoto,msafiri kakiri,Asha mwanaseifu,kaza moyo,Ajuza,Ndoa ndoano,Mwanamkiwa,Ajari,Nyongo mkaana ini,Isihaka kibene,Harusi ya kibene,Piga ua taraka utatoa na nyimbo zingine nyingi ukipita mitaa ya Keko machungwa sehemu alikokuwa anaishi mwanamziki huyu lazima utasikia moja ya nyimbo zake zikipigwa katika club mbalimbali au kwenye majumba ya wenyeji mwanamziki huyu alifananishwa sana na mwanamziki Madilu System wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na stairi yake ya uimbaji pamoja na kijana aliyekuwa akimuigiza sauti yake Gasper Damian Danken katika Bendi ya Msondo Ngoma na mtoto wake Hassan Moshi William ama hakika kifo cha mwanamziki Moshi William ni pengo kubwa sana katika Bendi ya Msondo Ngoma ambalo mpaka sasa halijaweza kuzibika
 
{{DEFAULTSORT:Moshi William}}