Uchoraji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kondoa.jpg|thumb|300px|Uchoraji kwenye [[mwamba]] kwenye [[Michoro ya Kondoa|mapango karibu na]] [[Kondoa]] ([[Tanzania]]).]]
'''Uchoraji''' ni [[sanaa]] ya kupakakuweka rangi[[alama]] kwenyekwa usokuandika wakwa kalamu au kitu kingine cha kuandikia au kupaka [[rangi]] katika [[karatasi]], [[kitambaa]], [[ubao]], [[metali]], [[mwamba]] au penginepo. Tokeo la uchoraji huitwa picha.
 
Tokeo la uchoraji huitwa [[picha]]. Mara nyingine picha huchorwa kwa [[ustadi]] mkubwa sana.
Ni sanaa wakilishi inayotumika kuwakilisha [[ujumbe]] kwa [[jamii]], kuna aina tofauti za uchoraji.
 
Ni sanaa wakilishi inayotumikamaana inaweza kutumika kuwakilisha [[ujumbe]] kwa [[jamii]], kuna aina tofauti za uchoraji.
Hii inategemea na mchoraji mwenyewe anapenda aina gani ya uchoraji, pia wakati mwingine sanaa hii ya uchoraji si kuwakilisha ujumbe tu pia kumvutia mtamzamaji kwa rangi za kupendeza bila kujali ujumbe uliobebwa na picha hiyo, au wakati mwingine inawezekana picha isiwe na ujumbe kabisa lakini ikawa imechorwa kwa ustadi mkubwa na kupakwa rangi za kuvutia sana.
 
Hata hivyo kuna aina tofauti za uchoraji. Hii inategemea na mchoraji mwenyewe anapenda aina gani ya uchoraji, pia: wakati mwingine sanaa hii ya uchoraji si ya kuwakilisha ujumbe tu, bali pia kumvutia mtamzamajimtazamaji kwa rangi za kupendeza bila kujali ujumbe uliobebwa na picha hiyo,. au wakatiWakati mwingine inawezekana picha isiwe na ujumbe kabisa, lakini ikawa imechorwa kwa ustadi mkubwa na kupakwa rangi za kuvutia sana., mpaka mtazamaji kumvutia na kumfanya apende kuendelea kuitazama picha husika.
[[Picha:Tomb of Nakht (2).jpg|thumb|200px|Uchoraji wa [[Misri ya Kale]] (Kaburi la Nakht)]]
 
[[Picha:Tomb of Nakht (2).jpg|thumb|200px|Uchoraji wa Misri ya Kale (Kaburi la Nakht)]]
== Historia ==
Picha za kale kabisa zinaonyesha uchoraji kwenye miamba katika mapango. Katika [[Afrika]] ni [[Wasan]] au watu waliokuwa karibu nao waliochora [[wanyama]] kwenye kuta za mipango walipopumzika. Picha zao zinapatikana kote katika [[Afrika ya Kusini]] hadi [[Tanzania]] ambako kuna mifano mbalimbali karibu na [[Kondoa]]. Mifano ya uchoraji wa aina hii imepatikana pia [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Australia]].
 
Hatujui mengi kuhusu namna nyingine za uchoraji wa kale kwa sababu vifaa vingine vilivyotumiwa havikudumu.
 
Kutoka tamaduniustaarabu yawa juu kama wa [[Misri]], [[bonde la Indus]] au [[China]] tunajua mifano mingine ya uchoraji inayoonyesha hali ya juu zaidi. Katika ustaarabu wa [[madola]] ya kwanza wachoraji walikuwa tayari watu waliokuwa na nafasi ya kufuata sanaa yao bila haja ya kuwinda au kulima wenyewe, kwa sababu mtu mkubwa kama [[mfalme]] au [[kuhani]] aliwapaaliwapatia ridhiki[[riziki]] ya [[maisha]].
 
Katika [[Kaburi|makaburi]] ya [[Nubia]], [[Ufalme wa Kush]] kuna picha zilizohifadhiwa [[ukuta|ukutani]]. Makaburi ya Wamisri yalijengwa mara nyingi kwenye [[jangwa]], kando ya bonde la [[Naili]]. [[Ukavu]] wa [[mazingira]] pamoja na [[giza]] vilitunza rangi vema.
 
Katika makaburi ya [[Nubia,Ufalume wa Kush]] kuna picha zilizohifadhiwa ukutani. Makaburi ya Wamisri yalijengwa mara nyingi kwenye [[jangwa]] kando la bonde la [[Naili]]. Ukavu wa mazingira pamoja na giza ulitunza rangi vema. Wamisri wa Kale walichora watu bila kutofautisha [[mandharimbele]] au [[mandharinyuma]]. Wati muhimu waliochorwa wakubwa kuliko wale waliokuwa na [[cheo]] kidogo. [[Mwili]] ulionyeshwa mara nyingi kwa mbele lakini [[kichwa]] na [[uso]] kwa kando.
 
Katika [[Ugiriki yawa Kale]] uchoraji na [[wasanii]] wake uliheshimiwawaliheshimiwa sana. [[Philostrates]] aliandika mnamo mwaka [[300 KK]] ya kwamba uchoraji ulibuniwa na [[miungu]]. Kuna taarifa juu ya picha lakini ni machache tu yaliyohifadhiwa kwa sababu ya [[hali ya hewa]] na kwa sababu picha nyingi zilichorwa juu ya ubao au [[tofali|matofali]].
 
[[Waroma wa Kale]] walituachia mifano mingi ya uchoraji wa ukutani; nje ya makaburi ni hasa [[nyumba]] za [[miji]] ya [[Pompei]] na [[Herkulaneo]] zilizofunikwa na [[majivu]] ya [[volkeno]] [[Vesuvio]] ambako picha nzuri zimehifadhiwa tangu mwaka [[79]] [[BK]]. Wakati ule wasanii walitofautisha tayari kati ya mandharimbele na mandharinyuma.
 
Uchoraji wa [[China]] uliendelea sana kufuatana na [[utamaduni]] wake; mnamo mwaka [[600]] kuna picha za [[mandhari]] zinazoonyesha nchi na [[milima]]; msanii wa kwanza anayejulikana alitumia [[mbinu]] huuhii alikuwa [[Zhan Ziqian]].
 
{{mbegu-utamaduni}}