Uchoraji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 2:
'''Uchoraji''' ni [[sanaa]] ya kuweka [[alama]] kwa kuandika kwa kalamu au kitu kingine cha kuandikia au kupaka [[rangi]] katika [[karatasi]], [[kitambaa]], [[ubao]], [[metali]], [[mwamba]] au penginepo.
 
Tokeo la uchoraji huitwa [[mchoro]] au [[picha]]. Mara nyingine picha huchorwa kwa [[ustadi]] mkubwa sana.
 
Ni sanaa wakilishi maana inaweza kutumika kuwakilisha [[ujumbe]] kwa [[jamii]].