Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza kwa upande wa Sherehe na uongozi
Mstari 31:
 
[[Idadi ya watu]] inaongezeka kwa [[kasi]] na hivyo pia kuongezeka kwa [[wakulima]] wa [[mboga|mbogamboga]].
 
Shughuli za sherehe.
 
Wasukuma wengi karne ya 20 walitumia tamaduni zaidi katika kusherehekea matukio ya nyakati mbalimbali,mfano wakati wa mavuno ,unyago na misiba,kuoana n.k.
 
Watemi ndio walikuwa viongozi wa kabila la wasukuma na watu walikaa kiukoo katika eneo moja.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}