Ralf Krewinkel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+
Mstari 1:
[[Picha:Ralf-krewinkel-1304684684.jpg|right|thumb|Ralf Krewinkel]]
 
'''Ralf Karel Hubert Krewinkel''' (amezaliwa [[12 Novemba]] [[1974]]) ni mwanasiasa kutoka [[Uholanzi]]. Tangu 31 Agosti 2015 yeye ni [[Meya]] wa Manispaa ya [[Heerlen]] katika jimbo la [[Limburg, Uholanzi]]. Alikuwa Meya wa Manispaa ya [[Beek]] kuanzia 2011 hadi 2015. Alizaliwa [[Kerkrade]] (pia Limburg, Uholanzi).
 
== Viungo vya nje ==