1846 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Matukio: nyongeza
Mstari 4:
 
== Matukio ==
 
*[[10 Februari]] - [[Wamormoni]] nchini [[Marekani]] wanaanza kuhamia kutoka sehemu za [[Illinois]] kuelekea [[Utah]] wakiongozwa na [[Brigham Young]]
* 14 Februari – Rais wa Marekani [[James K. Polk]] anatangaza utekaji wa [[Jamhuri ya Texas]]
* [[25 Aprili]] - mapigano baina vikosi vya Marekani na [[Mexiko]] yanaanzisha [[vita ya Marekani na Mexiko]] itakayoendelea hadi Februari 1848
* [[16 Juni]] - Uchaguzi wa [[Papa Pius IX]]