Texas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 32:
 
===Jimbo la Mexiko na uhuru===
Baada ya uhuru wa Mexiko kutoka Hispania mwaka 1821 Texas ilikuwa jimbo la nchi mpya ya Mexiko. Ilhali serikali ya Mexiko ilikosa uwezo wa kuwashinda Waindio ilikaribisha walowezi kutoka maeneo ya Marekani kuja Texas. Kuingia kwa walowezi wengi wenye lugha na utamaduni wa Kiingereza kutoka Marekani kulisababisha kutokea kwa tofauti ya kiutamaduni na na sehemu ya wakazi wapya hawakukubali mamlaka ya serikali ya Mexiko. Hatimaye mwaka 1836 walowezi Wamarekani katika jimbo walitangaza [[Jamhuri ya Texas]] kuwa jamhurinchi huru ya kujitegemea ilivumiliwa na Mexiko baada ya vita fupi lakini Mexiko iliendelea kudai mamlaka juu yake.
 
===Utekaji na Marekani===