Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Waolmeki
Mstari 69:
Watu wa kwanza walifika hapa kutoka kaskazini walikuwa [[Waindio]] wajukuu wa wahamiaji walioingia Amerika kutoka Asia ya Kaskazini. Hakuna uhakika kufika huku kulitokea lini labda miaka 10,000 iliyopita<ref>[https://books.google.com/books?id=Qxp-GWiDPioC&pg=PA386#v=onepage&q&f=false Michael S. Werner (January 2001). Concise Encyclopedia of Mexico. Taylor & Francis. pp. 386–. ISBN 978-1-57958-337-8]</ref>. Hao Waindio walikuwa wakulima hodari sana na [[mazao]] mbalimbali ambayo leo ni msingi wa chakula kote duniani yalianzishwa na kupandishwa nao pamoja na [[mahindi]], [[mboga]] na [[nyanya]]. Mahindi hukadiriwa ilianzishwa takriban mnamo mwaka 9,000 [[KK]] <ref>[https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC122905/ A single domestication for maize shown by multilocus microsatellite genotyping, Proc Natl Acad Sci U S A. 2002 Apr 30; 99(9): 6080–6084. doi: 10.1073/pnas.052125199]</ref><ref>[http://learn.genetics.utah.edu/content/selection/corn "The Evolution of Corn". University of Utah HEALTH SCIENCES. Retrieved 2 January 2016]</ref>.
[[Picha:20041229-Olmec Head (Museo Nacional de Antropología).jpg|250px|thumbnail|left|Sanamu ya kichwa ya Kiolmeki]]
Kilimo kiliweka msingi kwa vijiji na jamii zilizishirikiana katika maeneo makubwa. Miji ya kwanza inajulikana kuanzia takriban mwaka 1,500 KK.
Kilimo kiliweka msingi kwa vijiji na jamii zilizishirikiana katika maeneo makubwa. Miji ya kwanza inajulikana kuanzia takriban mwaka 1,500 KK. Ustaarabu wa kwanza unaojulikana ulikuwa wa [[Waolmeki]] baina 1.500 na 400 KK. Habari zao zinajulikana kutokana na [[akiolojia]] na mabaki ya miji na sanaa yao. Waolmeki walijenga miji wakaacha mifano ya sanaa yenye kiwango cha juu. Waliishi katika kanda la pwani la Mexiko katika majimbo ya leo ya [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]]. Ni watu wa kwanza katika Mexiko wanaojulikana kubuni [[mwandiko]] na [[kalenda]], mchezo wa [[mpira]] na ujenzi wa [[piramidi]] za hekalu. Walikuwa hodari sana kuchonga sanamu ya mawe, hasa vichwa vikubwa vyenye urefu zaidi ya mita 3. Walifaulu kuunda sanaa hii bila kujua vifaa vya [[metali]]. Sanamu nyingine inayorudirudi ni mtu-jagwaa ibnayounganisha sehemu ya maumbile ya binadamu na [[jagwa]]. Takriban mwaka 400 - 300 KK miji yao iliachwa na wakazi hakuna uhakika ni nini iliyosababisha mwisho wa ustaarabu huu.
 
== Watu ==