Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 72:
 
====Waolmeki====
Ustaarabu wa kwanza unaojulikana ulikuwa wa [[Waolmeki]] baina 1.500 na 400 KK. Habari zao zinajulikana kutokana na [[akiolojia]] na mabaki ya miji na sanaa yao. Waolmeki walijenga miji wakaacha mifano ya sanaa yenye kiwango cha juu. Waliishi katika kanda la pwani la Mexiko katika majimbo ya leo ya [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]]. Ni watu wa kwanza katika Mexiko wanaojulikana kubuni [[mwandiko]] na [[kalenda]], mchezo wa [[mpira]] na ujenzi wa [[piramidi]] za hekalu. Walikuwa hodari sana kuchonga sanamu ya mawe, hasa vichwa vikubwa vyenye urefu zaidi ya mita 3. Walifaulu kuunda sanaa hii bila kujua vifaa vya [[metali]]. Sanamu[[Picha:Zacuelu2.jpg|thumbnail|Hekalu nyingine inayorudirudi ni mtu-jagwaa ibnayounganisha sehemupiramidi ya maumbile ya binadamu na [[jagwaKimaya]]. Takriban mwaka 400 - 300 KK miji yao iliachwa na wakazi hakuna uhakika ni nini iliyosababisha mwisho wa ustaarabu huu.
[[Picha:Zacuelu2.jpg|thumbnail|Hekalu - piramidi ya Kimaya]]
[[Picha:Madrid Codex 9.jpg|thumbnail|Ukurasa kutoka kitabu cha Kimaya - maandishi ya hiroglifi]]
Sanamu nyingine inayorudirudi ni mtu-jagwaa ibnayounganisha sehemu ya maumbile ya binadamu na [[jagwa]]. Takriban mwaka 400 - 300 KK miji yao iliachwa na wakazi hakuna uhakika ni nini iliyosababisha mwisho wa ustaarabu huu.
 
====Wamaya====
Upande wa mashariki wa Waolmeki ustaarabu wa [[Wamaya]] ulianza tangu takriban mwaka 2,000 KK. Wamaya walikalia rasi ya [[Yucatan]] pamoja na Guatemala na Belize ya leo. Waliishi katika vijiji na miji iliyojitegemea na kugombana kati yao mara kwa mara. Wamaya walibuni mwandiko wa [[hiroglifi]] mwenye alama nyingi kupita maandishi mengine katika Amerika ya Kale na kutunga vitabu. Waliendeleza pia hisabati, wakijua namba "[[sifuri]]" na kuboresha mfumo wa kalenda. Walikuwa hodari sana katika [[astronomia]] yaani elimu ya nyota. Walipamba miji yao kwa majengo makubwa na mazuri na kuwa wafanyabiashara hodari. Sanaa yao ilijua uchongaji wa mawe na pia uchoraji.
 
Jamii ya Wamaya ilifikia kiwango cha juu kuanzia mwaka 500 KK wakati miji mikubwa ya kwanza ilipotokea. Mnamo mwaka 800 BK jamii za Wamaya katika Yucatan ziliporomoka; wataalamu wengi huamini ya kwamba mabadiliko ya ekolojia na halihewa pamoja na kuchoka kwa utba ya ardhi yalisababisha kutoka kwa watu katika makazi ya awali. Lakini ustaarabu huu uliona tena kipindi cha kustawi katika maeneo mengine hadi kuja kwa Wahispania.
 
== Watu ==