Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 53:
}}
 
'''Meksiko''' ni nchi kubwa ([[km2km<sup>2</sup>]] 1,972,550) inayohesabiwa kuwa sehemu ya [[Amerika ya Kaskazini]] au pengine ya [[Amerika ya Kati]].
 
Imepakana na [[Marekani]] upande wa [[kaskazini]]. Upande wa [[kusini]] majirani ni [[Guatemala]] na [[Belize]].
 
Ina [[pwani]] ndefu na [[bahari]] za [[Pasifiki]] na [[Ghuba ya Meksiko]].
 
Ina [[muundo]] wa [[shirikisho]] ya majimbo 32 yanayojitawala. Mexiko ilikuwa nchi ya [[staarabu]] za juu ya [[Waazteki]] na [[Wamaya]] hadi kuvamiwa na Hispania mnamo mwaka [[1521]], halafu koloni ya Hispania hadi uhuru wa mwaka 1521.
 
Mexiko ilikuwa nchi ya [[staarabu]] za juu ya [[Waazteki]] na [[Wamaya]] hadi kuvamiwa na [[Hispania]] mnamo mwaka [[1521]], halafu [[koloni]] lya Hispania hadi [[uhuru]] wa mwaka 1821.
Mji mkuu ni [[Mexico City]], ambao katika eneo lake lote una watu zaidi ya milioni 20.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Mexico City]], ambao katika eneo lake lote una watu zaidi ya [[milioni]] 20.
 
== Historia ==
Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wa[[hispania]] walioivamia kuanzia mwaka [[1519]] na kuvunja [[utawala]] wa milki za wenyeji kama [[Azteki]] na [[Maya]].
 
===Kabla ya uvamizi wa Hispania===
Watu wa kwanza walifikawaliofika hapahuko kutoka kaskazini walikuwa [[Waindio]], wajukuu wa wahamiaji walioingia [[Amerika]] kutoka [[Asia ya Kaskazini]]. Hakuna uhakika kufika hukuhuko kulitokea lini: labda miaka 10,000 iliyopita<ref>[https://books.google.com/books?id=Qxp-GWiDPioC&pg=PA386#v=onepage&q&f=false Michael S. Werner (January 2001). Concise Encyclopedia of Mexico. Taylor & Francis. pp. 386–. ISBN 978-1-57958-337-8]</ref>.

Hao Waindio walikuwa [[wakulima]] hodari sana na [[mazao]] mbalimbali ambayo leo ni msingi wa [[chakula]] kote [[duniani]] yalianzishwa na kupandishwa nao, yakiwa pamoja na [[mahindi]], [[mboga]] na [[nyanya]]. Mahindi[[Kilimo]] cha mahindi hukadiriwa ilianzishwakilianzishwa takriban mnamo mwaka 9,000 [[9000 KK]] <ref>[https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC122905/ A single domestication for maize shown by multilocus microsatellite genotyping, Proc Natl Acad Sci U S A. 2002 Apr 30; 99(9): 6080–6084. doi: 10.1073/pnas.052125199]</ref><ref>[http://learn.genetics.utah.edu/content/selection/corn "The Evolution of Corn". University of Utah HEALTH SCIENCES. Retrieved 2 January 2016]</ref>.
[[Picha:20041229-Olmec Head (Museo Nacional de Antropología).jpg|250px|thumbnail|left|Sanamu ya kichwa ya Kiolmeki]]
Kilimo kiliweka msingi kwa [[Kijiji|vijiji]] na [[jamii]] zilizishirikianazilizoshirikiana katika maeneo makubwa. [[Miji]] ya kwanza inajulikana kuanzia takriban mwaka 1,500[[1500 KK]].
 
Staarabu mbalimbali zilistawi na kukua katika maeneo ya pwani ([[Waolmeki]], Wamaya) na katika [[nyanda za juu]] yaza Mexico ya kati ([[Wazapoteki]], [[Wamixeki]], [[Watolteki]], Waazteki).
 
====Waolmeki====
Ustaarabu wa kwanza unaojulikana ulikuwa wa [[Waolmeki]] baina 1.500ya 1500 KK na [[400 KK]]. Habari zao zinajulikana kutokana na [[akiolojia]] na mabaki ya miji na [[sanaa]] yao. Waolmeki walijenga miji wakaacha mifano ya sanaa yenye kiwango cha juu.

Waliishi katika kanda la pwani la Mexiko katika majimbo ya leo ya [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]] na [[Tabasco (jimbo)|Tabasco]]. Ni watu wa kwanza katika Mexiko wanaojulikana kubuni [[mwandiko]] na [[kalenda]], [[mchezo]] wa [[mpira]] na [[ujenzi]] wa [[piramidi]] za [[hekalu]]. Walikuwa hodari sana kuchonga [[sanamu]] ya [[Jiwe|mawe]], hasa [[Kichwa|vichwa]] vikubwa vyenye [[urefu]] WA zaidi ya [[mita ]] 3. Walifaulu kuunda sanaa hii bila kujua vifaa vya [[metali]]. [[Picha:Zacuelu2.jpg|thumbnail|Hekalu - piramidi ya Kimaya]]
[[Picha:Madrid Codex 9.jpg|thumbnail|150px|Ukurasa kutoka kitabu cha Kimaya - maandishi ya hiroglifi]]
Sanamu nyingine inayorudirudi ni mtu-jagwaa ibnayounganishainayounganisha sehemu ya [[maumbile]] ya [[binadamu]] na [[jagwa]]. Takriban mwaka 400 - [[300 KK]] miji yao iliachwa na wakazi; hakuna uhakika ni nini iliyosababisha mwisho wa ustaarabu huu.
 
====Wamaya====
Upande wa [[mashariki]] wa Waolmeki ustaarabu wa [[Wamaya]] ulianza tangu takriban mwaka 2,000[[2000 KK]]. Wamaya walikalia [[rasi]] ya [[Yucatan]] pamoja na Guatemala na Belize ya leo. Waliishi katika vijiji na miji iliyojitegemea na kugombana kati yao mara kwa mara.

Wamaya walibuni mwandiko wa [[hiroglifi]] mwenyewenye [[alama]] nyingi kupita maandishi mengine katika [[Amerika ya Kale]] na kutunga [[vitabu]]. Waliendeleza pia [[hisabati]], wakijua [[namba]] "[[sifuri]]" na kuboresha mfumo wa kalenda.

Walikuwa hodari sana katika [[astronomia]] yaani [[elimu]] ya [[nyota]]. Walipamba miji yao kwa [[Jengo|majengo]] makubwa na mazuri na kuwa [[wafanyabiashara]] hodari. Sanaa yao ilijua [[uchongaji]] wa mawe na pia [[uchoraji]].
 
Jamii ya Wamaya ilifikia kiwango cha juu kuanzia mwaka [[500 KK]] wakati miji mikubwa ya kwanza ilipotokea. Mnamo mwaka [[800]] [[BK]] jamii za Wamaya katika Yucatan ziliporomoka; [[wataalamu]] wengi huamini ya kwamba mabadiliko ya [[ekolojia]] na [[halihewa]] pamoja na kuchoka kwa [[rutuba]] ya [[ardhi]] yalisababisha kutoka kwa watu katika makazi ya awali.
 
Jamii ya Wamaya ilifikia kiwango cha juu kuanzia mwaka 500 KK wakati miji mikubwa ya kwanza ilipotokea. Mnamo mwaka 800 BK jamii za Wamaya katika Yucatan ziliporomoka; wataalamu wengi huamini ya kwamba mabadiliko ya ekolojia na halihewa pamoja na kuchoka kwa utba ya ardhi yalisababisha kutoka kwa watu katika makazi ya awali. Lakini ustaarabu huu uliona tena kipindi cha kustawi katika maeneo mengine hadi kuja kwa Wahispania. Miji mbalimbali ya Wamaya iliendelea kujitetea dhidi ya wavamizi na [[Nojpeten ]], mji wa mwisho wa kujitegemea ulitekwa mwaka [[1696]] tu.
 
==== Teotihuacan ====
[[Picha:View from Pyramide de la luna.jpg|thumbnail|[[Barabara]] ya mahekalu na piramidi ya jua mjini Teotihuacan]]
[[Teotihuacan]] ilikuwa mji mkubwa katika nyanda za juu, karibu na Mexico City ya leo. Kuanzia mwaka [[100 KK]] hadi takriban [[550]] BK ilikuwa mji mkubwa wa Amerika, pia moja kati ya miji mikubwa duniani na [[kitovu]] cha [[utamaduni]] kilichoathiri staarabu zote za Mexiko.
 
[[Teotihuacan]] ilikuwa mji mkubwa katika nyanda za juu, karibu na Mexico City ya leo. Kuanzia mwaka 100 KK hadi takriban 550 BK ilikuwa mji mkubwa wa Amerika, pia moja kati ya miji mikubwa duniani na kitovu cha utamaduni kilichoathiri staarabu zote za Mexiko. "Teotihuacan" ilikuwa [[jina]] la Waazteki kwa mji huu, jina la kienyeji halikuhifadhiwa. Maana ya jina ni "mahali pa kuzaliwa kwa [[miungu]]". Wakati wa [[maendeleo]] yake mji ulikuwa na eneo la [[kilomita za mraba]] 30 ukiwa na wakazi angalau 150,000, labda hata 250,000 walioishi humo<ref>[http://www.dartmouth.edu/~izapa/M-15.pdf Architecture, Astronomy, and Calendrics in Pre- Columbian Mesoamerica, Vincent H. Malmstrom ]</ref>.
 
Hakuna uhakika ni akina nani waliojenga Teotohuacan. Mji wote ulipangwa kwa kufuata [[barabara]] mbili zilizoelekea kaskazini-kusini na mashariki-magharibi. Hekalu kubwa na piramidi zinaonyesha umuhimu wa [[dini]], na mabaki ya [[nyumba]] za wakubwa na watu wa kawaida yanaruhusu kupata [[picha]] ya jamii iliyoishi hapa. Teotohuacan ilikuwa kitovu cha biashara ya misafara ya mbali na pia ya elimu. Ukubwa wa mji unaonyesha kiwango cha juu cha utawala na ushirikiano kati ya watu wake.
 
Teotohuacan ilikuwa kitovu cha [[biashara]] ya misafara ya mbali na pia ya elimu. Ukubwa wa mji unaonyesha kiwango cha juu cha [[utawala]] na [[ushirikiano]] kati ya watu wake.
Katika karne ya 6 BK sehemu kubwa ya majengo iliharibika na kuchomwa. Hakuna uhakika kama hii ilikuwa tokeo la uvamizi kutoka nje au mvurugo au mapinduzi ndani ya mji. Baada ya maharibio yale mji ulianza kurudi nyuma na idadi ya watu kupungua. Mnamo mwaka 750 BK watu wote waliondoka ni maghofu ya majengo makubwa tu yaliyobaki<ref>[http://www.metmuseum.org/toah/hd/teot/hd_teot.htm Teotihuacan, Department of Arts of Africa, Oceania, and the Americas, The Metropolitan Museum of Art October 2001]</ref>.
 
Katika [[karne ya 6]] BK sehemu kubwa ya majengo iliharibika na kuchomwa. Hakuna uhakika kama hii ilikuwa tokeo la uvamizi kutoka nje au mvurugovurugu au [[mapinduzi]] ndani ya mji. Baada ya maharibio yale mji ulianza kurudi nyuma na idadi ya watu kupungua. Mnamo mwaka [[750]] BK watu wote waliondoka: ni [[ghofu|maghofu]] ya majengo makubwa tu yaliyobaki<ref>[http://www.metmuseum.org/toah/hd/teot/hd_teot.htm Teotihuacan, Department of Arts of Africa, Oceania, and the Americas, The Metropolitan Museum of Art October 2001]</ref>.
 
== Watu ==
Line 100 ⟶ 115:
 
== Majimbo ya Mexiko ==
 
# [[Aguascalientes (jimbo)|Aguascalientes]]
# [[Baja California (jimbo)|Baja California]]
Line 176 ⟶ 190:
* [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=MX Key Development Forecasts for Mexico] from [[International Futures]]
*[http://www.conservapedia.com/Mexico_by_World_Painters Mexico by World Painters.]
 
{{Amerika Kaskazini}}
{{mbegu-jio-Mexiko}}