Johannes Diderik van der Waals : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Johannes Diderik van der Waals''' (23 Novemba, 1837 hadi 8 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 16:05, 24 Machi 2016
Johannes Diderik van der Waals (23 Novemba, 1837 hadi 8 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza hali ya gesi na ya kiowevu. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johannes Diderik van der Waals kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |