Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 53:
}}
 
'''Meksiko''' ni nchi kubwa ([[km2|km<sup>2</sup>]] 1,972,550) inayohesabiwa kuwa sehemu ya [[Amerika ya Kaskazini]] au pengine ya [[Amerika ya Kati]].
 
Imepakana na [[Marekani]] upande wa [[kaskazini]]. Upande wa [[kusini]] majirani ni [[Guatemala]] na [[Belize]].
Mstari 66:
 
== Historia ==
Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wa[[hispania]] walioivamia kuanzia mwaka [[1519]] na kuvunja [[utawala]] wa milki za wenyeji kama [[Azteki]] na [[Maya]]. Baada ya [[Waindio]] hao kujiunga haraka na [[Kanisa Katoliki]], walichanganyikana na wavamizi na kufanya [[taifa]] jipya lenye sura ya [[chotara|kichotara]], kiasi kwamba wengi wanajiona "mestizos" (machotara) hata wasipokuwa na [[damu]] mchanganyiko.
 
===Kabla ya uvamizi wa Hispania===
Mstari 106:
 
Katika [[karne ya 6]] BK sehemu kubwa ya majengo iliharibika na kuchomwa. Hakuna uhakika kama hii ilikuwa tokeo la uvamizi kutoka nje au vurugu au [[mapinduzi]] ndani ya mji. Baada ya maharibio yale mji ulianza kurudi nyuma na idadi ya watu kupungua. Mnamo mwaka [[750]] BK watu wote waliondoka: ni [[ghofu|maghofu]] ya majengo makubwa tu yaliyobaki<ref>[http://www.metmuseum.org/toah/hd/teot/hd_teot.htm Teotihuacan, Department of Arts of Africa, Oceania, and the Americas, The Metropolitan Museum of Art October 2001]</ref>.
 
===Ukoloni===
Baada ya Hispania kuteka sehemu kubwa ya nchi mwaka 1521, liliundwa [[koloni]] la [[Hispania Mpy]]a chini ya makamu wa mfalme.
 
Baada ya karne tatu na baada ya [[vita]] vya [[ukombozi]], mwaka 1821 wakazi walijipatia [[uhuru]] kwa jina la Mexico.
 
Lakini miaka iliyofuata nchi haikupata msimamo kisiasa wala kiuchumi.
 
[[Vita vya Mexico na Marekani]] ([[1846]]–[[1848]]) viliishia na nchi kuiacha jirani karibu [[theluthi]] moja ya eneo lake lote.
 
Katika [[karne ya 19]] vilitokea [[vita vya Pastry]], [[vita vya Ufaransa na Meksiko|vita dhidi ya Ufaransa]], [[vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Meksiko|vita vya wenyewe kwa wenyewe]], majaribio mawili ya kuanzisha [[ukaisari]] na moja la kuwa na [[udikteta]].
 
Udikteta huo [[mapinduzi ya Meksiko|ulipinduliwa]] mwaka [[1910]], halafu katiba mpya ilitangazwa mwaka [[1917]] na ndiyo inayoongoza siasa ya nchi hadi leo.
 
== Watu ==