Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 61:
Ina [[muundo]] wa [[shirikisho]] ya majimbo 32 yanayojitawala.
 
Mexiko ilikuwa nchi ya [[staarabu]] za juu ya [[Waazteki]] na [[Wamaya]] hadi kuvamiwa na [[Hispania]] mnamo mwaka [[1521]], halafu [[koloni]] lyala Hispania hadi [[uhuru]] wa mwaka 1821.
 
Kwa sasa ni nchi ya 15 kiuchumi duniani, hivyo ni pia mwanachama wa kundi la [[G20]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Mexico City]], ambao katika eneo lake lote una watu zaidi ya [[milioni]] 20.
 
== Historia ==
Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wa[[hispania]] walioivamia kuanzia mwaka [[1519]] na kuvunja [[utawala]] wa milki za wenyeji kama [[Azteki]] na [[Maya]].

Baada ya [[Waindio]] hao kujiunga haraka na [[Kanisa Katoliki]] kuhusiana na [[njozi]] ya mwenzao [[Juan Diego]] aliyetokewa na [[Bikira Maria]] huko [[Guadalupe, Nuevo León|Guadalupe]] ([[12 Desemba]] [[1531]]), walichanganyikana na wavamizi na kufanya [[taifa]] jipya lenye sura ya [[chotara|kichotara]], kiasi kwamba wengi wanajiona "mestizos" (machotara) hata wasipokuwa na [[damu]] mchanganyiko.
 
===Kabla ya uvamizi wa Hispania===
Line 121 ⟶ 125:
 
== Watu ==
Wakazi ni 118,395,054: wengi wao ni ma[[chotara]] wenye damu ya [[Wahindi wekundu]] (31/55% hivi) na [[Wazungu]] (42/65% hivi). Wenye asili ya [[Ulaya]] tu ni 9/18%.
 
HutumiaNi nchi ya kwanza duniani kwa wingi wa watu wanaotumia [[lugha]] ya [[Kihispania]] ambayo ni [[lugha ya taifa]], lakini wengine (59.8/14.49%) wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya [[ukoloni]] kama vile [[Nahuatl]], [[Yukatek]] [[Maya]], [[Mixtek]] na [[Zapoteki|Zapotek]].
 
Nchini wanaishi Wamarekani milioni 1, halafu wahamiaji wengine kutoka Amerika ya Kati, [[Lebanon]] n.k.
Hutumia [[lugha]] ya [[Kihispania]] ambayo ni [[lugha ya taifa]], lakini wengine (5.4%) wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya [[ukoloni]] kama vile [[Nahuatl]], [[Yukatek]] [[Maya]], [[Mixtek]] na [[Zapoteki|Zapotek]].
 
Upande wa [[dini]] walio wengi ni wafuasi wa [[Yesu Kristo]] katika [[Kanisa Katoliki]] (83%) au [[madhehebu]] mengine (10%).
Ni nchi ya pili duniani kwa wingi wa Wakatoliki, baada ya [[Brazil]].
 
== Majimbo ya Mexiko ==