Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 110:
 
===Ukoloni===
[[Image:Virgen de guadalupe1.jpg|250px|thumb|Jinsi Bikira Maria alivyomtokea Juan Diego kwenye kilima Tepeyac, Mexico City.]]
Baada ya Hispania kuteka sehemu kubwa ya nchi mwaka 1521, liliundwa [[koloni]] la [[Hispania Mpya]] chini ya makamu wa mfalme.
 
Bila kujali [[ukatili]] wa Wahispania, [[Waindio]] walijiunga haraka na [[Kanisa Katoliki]] kuhusiana na [[njozi]] ya mwenzao [[Juan Diego]] aliyetokewa na [[Bikira Maria]] huko [[Guadalupe, NuevoMexico LeónCity|Guadalupe]] ([[12 Desemba]] [[1531]]), wakachanganyikana na wavamizi na kufanya [[taifa]] jipya lenye sura ya [[chotara|kichotara]], kiasi kwamba wengi wanajiona "mestizos" (machotara) hata wasipokuwa na [[damu]] mchanganyiko.
 
===Tangu uhuru hadi leo===