Jumuiya ya Afrika Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Red links removed - no purpose |
d Bye-bye red links |
||
Mstari 26:
|leader_name1 = [[John Magufuli]]
|leader_title2 = Mwenyekiti wa Baraza
|leader_name2 =
|leader_title3 = Rais wa Mahakama
|leader_name3 =
|leader_title4 = Spika wa Bunge
|leader_name4 =
|leader_title5 = Katibu Mkuu
|leader_name5 =
|legislature = Bunge la EAC (EALA)
|established_event1 = Mara ya kwanza
Mstari 83:
}}
{{hidden end}}
|time_zone =
|utc_offset = +2{{\}}+3
|footnote_a = If considered as a single entity.
|footnote_b = To be replaced by the
}}
[[Picha:Africa-countries-EAC.svg|thumb|right|Nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki]]
Mstari 146:
* [[Sudan Kusini]] (2016)
Kenya, Tanzania na Uganda zina [[historia]] ya ushirikiano tangu mwanzoni mwa [[karne ya 20]], wakati wa [[ukoloni]],<ref name="EacSite">{{cite web |url=http://www.eac.int/history.htm |title=From Co-operation to Community |website=eac.int |archiveurl=https://web.archive.org/web/20080510054423/http://www.eac.int/history.htm |archivedate=2008-05-10}}</ref> ikiwa ni pamoja na Umoja wa Forodha baina ya Kenya na Uganda mwaka 1917, [[Tanganyika]] ilijiunga mnamo mwaka [[1927]], katika Ubalozi wa Afrika Mashariki ([[1948]]-[[1961]])
Jumuia ambayo ilianzishwa baada ya [[uhuru]] ilidumu miaka 10 tu, lakini ilifufuliwa kwa mkataba wa tarehe [[30 Novemba]] [[1999]], ulioanza kufanya kazi tarehe [[7 Julai]] [[2000]], miaka 23 baada ya [[kifo]] cha ile ya kwanza.
Mstari 157:
==Vipingamizi kuelekea shirikisho==
Kwa ujumla, mataifa wanachama kwa kiasi kikubwa wanaona neema ya Shirikisho la Afrika Mashariki, lakini utafiti usio rasmi unaonyesha kwamba Watanzania wengi (asilimia themanini ya wakazi wake) wana mtazamo hasi.<ref>
Tanzania imekuwa na historia ya [[amani]] tangu kunyakua uhuru, ikilinganishwa na fujo na [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vilivyoshuhudiwa katika ma[[taifa]] ya [[Kenya]], [[Rwanda]], [[Burundi]], na [[Uganda]]. Wakati huu Afrika Mashariki inajaribu kudumisha utulivu na mafanikio katikati ya migogoro inayoendelea katika nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Pembe ya Afrika]] na [[Sudan Kusini]].
Pia ni kwamba Tanzania peke yake ina [[ardhi]] kubwa kuliko mataifa mengine 4 yakiunganishwa, na baadhi ya Watanzania wana hofu ya unyakuzi wa ardhi na wakazi wa sasa wa mataifa mengine wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.<ref name="Daily_News_Tz_001
Uhaba wa ardhi ni suala nyeti katika eneo la Afrika Mashariki, hasa nchini Kenya, ambako mapigano ya wenyewe kwa wenyewe upande wa [[Mlima Elgon]] mwaka [[2007]] yaliwaacha zaidi ya watu 150 wamefariki na kulazimisha takriban watu wengine 60,000 kugura makazi yao.<ref name="mt_elgon_clashes_001">
== Mahakama ya Afrika Mashariki ==
Mstari 172:
== Pasipoti ya Afrika Mashariki ==
Pasipoti ya Afrika Mashariki ilizinduliwa rasmi tarehe [[1 Aprili]] [[1999]] ili kurahisisha [[usafiri]] na kuvuka mipaka ya nchi husika.<ref name="EAC News...">[http://web.archive.org/20041221195607/www.eac.int/news_2004_11_EACDay.htm EAC News ...]</ref><ref name="Travelling in East Africa">
==Visa Moja kwa Watalii==
Mstari 194:
Mtangamano ungehesabiwa kama nchi moja tu, ungekuwa ya 17 [[duniani]] kwa eneo.
{{multiple image |align=left |image1=Lake victoria NASA.jpg |width1=180 |caption1=[[Ziwa Victoria]] kati ya nchi za Mtangamano. |alt1=Lake Victoria |image2=Kilimanjaro Tanzania 0046 Nevit.jpg|width2=177 |caption2=[[Mlima Kilimanjaro]], mrefu kuliko yote ya Afrika, uko Tanzania. |alt2=Mount Kilimanjaro|image3=Diani Beach Sunrise Kenya.jpg |width3=195 |caption3=[[Diani Beach]],
Huku inapatikana minne kati ya milima mirefu zaidi [[bara]]ni
*[[Ziwa Turkana]], Kenya, ndiyo ziwa la [[jangwani]] kubwa na lenye [[maji ya chumvi]] nyingi kuliko yote duniani.
*[[Ziwa
*[[Ziwa
▲[[Ziwa Tanganyika]] mashariki kwa Tanzania ni la pili duniani kwa kina.
Kenya pekee ina [[jangwa]], Chalbi Desert katika Marsabit County.
|