Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d thank you!
Mstari 71:
Imepakana na [[Namibia]], [[Botswana]], [[Zimbabwe]], [[Msumbiji]] na [[Uswazi]]. Nchi nzima ya [[Lesotho]] iko ndani ya eneo la Afrika Kusini.
 
[[Mji mkubwa]] ni [[Johannesburg]]. Majukumu ya [[mji mkuu]] yamegawiwa kati ya miji mitatu: [[Cape Town]] ni makao ya [[Bunge]], [[Pretoria]] ni makao ya [[Serikali]] na [[Bloemfontein]] ni makao ya [[Mahakama Kuu]].
 
==Jina==
Mstari 80:
Zamadamu waliishi katika eneo la Afrika Kusini tangu miaka milioni 3 iliyopita, inavyoshuhudiwa na [[akiolojia]].
 
[[Binadamu]] wameishi huko kwa miaka 170,000 mfululizo. Wakazi wa muda mrefu zaidi ni [[Wakhoikhoi]] na [[Wasani]], ambao wazagumzumza lugha ya [[jamii]] ya [[Khoi-San]].
 
Katika [[karne ya 4]] au [[Karne ya 5|ya 5]] walifika [[Wabantu]] ambao waliwazidi nguvu hao wa kwanza.
 
=== Koloni la Waholanzi kwenye Rasi ===
Chanzo cha Afrika Kusini kama nchi ni [[Koloni ya Rasi|Koloni la Rasi]] iliyoundwa na [[Waholanzi]] katika eneo la [[Cape Town]]. Huko [[kabila]] jipya la [[Makaburu]] lilijitokeza kati ya [[walowezi]] [[Wazungu]] kutoka [[Uholanzi]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]]. Lugha yao ilikuwa [[Kiholanzi]] iliyoanza kuchukua maneno ya [[Kifaransa]], [[Kiafrika]] na [[Kiingereza]] na kuendelea kuwa lugha ya pekee [[Kiafrikaans]].
 
Karne za kwanza za koloni la Kiholanzi ziliona pia kufika kwa [[watumwa]] kutoka [[Indonesia]] walioletwa kama [[wafanyakazi]] wa Waholanzi na Makaburu. Hao Waindonesia walikuwa [[chanzo]] cha [[jumuiya]] ya [[Uislamu]] kwenye [[rasi]].
 
Pia [[machotara]] walitokea kutokana na kuzaliana kati ya Makaburu na [[wanawake]] [[Waafrika]] na Waindonesia. Sehemu ya machotara hao wameingia katika jumuiya ya Makaburu na wengi wao wanapimwa kuwa na mababu Waafrika.
 
Katika miaka ya baadaye [[ubaguzi wa rangi]] uliongezeka na watoto machotara wa Wazungu na Waafrika mara nyingi hawakukubalika; walianza kuishi kama kundi la pekee kati ya Waafrika na Wazungu, nao ni chanzo cha hao walioitwa baadaye "Cape Coloreds".
Mstari 96:
Sehemu kubwa ya eneo [[kaskazini]] kwa rasi ilikaliwa na makabila ya Waafrika.
 
Mnamo mwaka [[1800]] falme na milki zilianza kutokea hapa. Mwanzo wa [[karne ya 19]] ni hasa [[Wazulu]] chini ya [[Shaka Zulu]] walioanza kuenea na kuwashambulia majirani katika [[vita vya Mfecane]]. Vita hivyo vilileta [[uharibifu]] mkubwa lakini vilisababisha pia kutokea kwa milki za [[Wasotho]] na [[Watswana]] na wengine walioiga mitindo ya Wazulu na kujenga ma[[dola]] yenye uwezo wa ki[[jeshi]].
 
=== Kuingia kwa Uingereza na jamhuri za Makaburu ===
Mwaka [[1814]] Koloni la Rasi lilitwaliwa na Waingereza na kuwa sehemu ya [[Milki ya Uingereza]].
 
[[Utawala]] wa Waingereza ulisababisha [[uhamisho]] wa nje wa sehemu ya Makaburu waliotokana na Wazungu kutoka Uholanzi, Ufaransa na Ujerumani; Makaburu hao walihama kwenda kaskazini wakaanzisha [[jamhuri]] ndogo kati ya maeneo ya Waafrika ama kwa njia ya mapatano au kwa njia ya [[vita]].
 
Kati ya miaka [[1840]] na [[1850]] Waingereza waliwafuata Makaburu kwa kueneza maeneo yao hadi [[mto Oranje]]; waliteka jamhuri ya Kikaburu ya [[Natalia]] na kuanzisha koloni jipya la [[Natal]].
 
Jamhuri mbili za Makaburu ziliweza kustawi kwa miaka kadhaa ambazo zilikuwa jamhuri ya [[Dola Huru la Oranje]] upande wa kaskazini wa mto Oranje na jamhuri ya [[Transvaal]] (ilijiita pia Jamhuri ya Kiafrika ya Kusini) upande wa kaskazini wa [[mto Vaal]].
 
=== Waafrika, Waingereza na Makaburu waligongana ===
Milki za Kiafrika zilitafuta njia zao kati ya [[himaya]] hizi za Wazungu ambao walikuwa na nguvu kutokana na [[silaha]] za kisasa. Wengine walitafuta [[uhusiano]] mzuri na Makaburu na kushikamana nao; wengine waliona Makaburu kama [[hatari]] wakatafuta uhusiano wa [[ulinzi]] na Waingereza.
 
Mikataba kati ya Waingereza na milki za Kiafrika iliunda [[nchi lindwa]] zinazoendelea hadi leo kama [[nchi huru]] kama vile [[Botswana]] (Bechuanaland), [[Lesotho]] (Basutoland) na [[Uswazi]] (Swaziland).
 
Katika [[miaka ya 1880]] [[almasi]] na [[dhahabu]] zilipatikana kwa wingi katika jamhuri hizi na kusababisha kufika kwa [[wachimbamadini]] wengi, hasa Waingereza, waliotaka kutajirika; Makaburu walisita kuwapa [[haki za kiraia]] kwa sababu waliogopa [[wageni]] wengi. [[Tatizo]] hilo lilisababisha vita vya Makaburu dhidi ya Uingereza na jamhuri za Makaburu zilitwaliwa na jeshi la Kiingereza hadi mwaka [[1902]] zikawa makoloni.
 
=== Karne ya 20: Muungano wa Afrika Kusini ===
Jitihada za kupatanisha Wazungu wa Afrika Kusini (yaani Waingereza na Makaburu) zilisababisha kuundwa kwa [[Muungano wa Afrika Kusini]] kama [[nchi ya kujitawala]] ndani ya Milki ya Uingereza. Waafrika kwa jumla hawakuwa na haki za kiraia katika nchi hiyo isipokuwa katika [[Jimbo la Rasi]] kama walikuwa na elimu na [[mapato]] ya kulipa [[kodi]] za kutosha.
 
=== Siasa ya Apartheid tangu 1948 ===
Baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] Chama cha National kilichofuata [[itikadi kali]] ilipata [[kura]] nyingi na kuchukua [[serikali]] ya Afrika Kusini. Hapo ilianzisha mfumo wa ubaguzi wa rangi kwa jina la [[apartheid]].
 
Haki za wasio Wazungu zilipunguzwa zaidi. Maeneo ya Kiafrika yalitangazwa kuwa nchi za pekee chini ya [[usimamizi]] wa serikali ya Kizungu ya Afrika Kusini; kwa hiyo wananchi kutoka maeneo hayo hawakuwa tena na haki za kukata [[rufaa]] mbele ya [[mahakama]]; walipewa vibali vya muda tu kukaa kwenye miji. Waafrika walipaswa kutembea muda wote na [[pasipoti]] na vibali; [[ndoa]] na [[mapenzi]] kati ya watu wa [[rangi]] tofauti zilipigwa [[marufuku]]. [[Shule]] na [[makazi]] zilitenganishwa.
 
Siasa hiyo ilisababisha [[farakano]] kati ya nchi nyingi za [[dunia]] na Afrika Kusini. [[Upinzani]] kutoka Uingereza na [[Jumuiya ya Madola]] ulisababisha kuondoka kwa Afrika Kusini katika jumuiya hiyo na kutangazwa kwa Jamhuri ya Afrika Kusini.
 
=== Afrika Kusini mpya ===
Mwaka 1990 Apartheid ilikwisha na serikali ya National Party ilipaswa kuendesha [[uchaguzi huru]] kwa wananchi wote na kukabidhi [[madaraka]] kwa serikali ya [[ANC]] chini ya [[Nelson Mandela]].
 
== Utawala na muundo wa shirikisho ==
Afrika Kusini ni [[shirikisho]]. [[Katiba]] mpya ya mwaka [[1997]] iliendeleza muundo huu uliundwa kama "Umoja wa Afrika Kusini" baada ya [[vita ya makaburu dhidi Uingereza]].
 
Afrika Kusini ya kale ilikuwa na majimbo manne: [[Jimbo la Rasi|Rasi]], [[Jimbo la Natal|Natal]], [[Dola Huru la Mto Orange]] na [[Transvaal]]. Maeneno makubwa yaliyokaliwa na Waafrika yalibaki nje katika katiba ya [[Apartheid]] yakiitwa [[bantustan]]s (au: ''homeland''). Katiba mpya ilichora mipaka upya.
 
=== Majimbo ya Afrika Kusini ===
Mstari 224:
Wengi (79.8%) ni [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mengi sana, hasa ya [[Uprotestanti]]; [[Wakatoliki]] ni 7.1%. [[Dini]] nyingine ni: [[Uislamu]] (1.5%), [[Uhindu]] (1.2%), [[Dini za jadi]] (0.3%) na [[Uyahudi]] (0.2%). Asilimia 15.1 ya watu hawana dini yoyote.
 
Afrika Kusini inaongoza duniani kwa wingi wa watu wenye [[VVU]]/[[UKIMWI]] (milioni 6.3).
 
== Uchumi ==
Ki[[uchumi]] Afrika Kusini ni nchi yenye pande mbili kabisa.
 
Sehemu ya uchumi ina hali ya ki[[maendeleo]]kimaendeleo kabisa ikiwa na [[viwanda]] na [[huduma]] zinazolingana na hali ya juu kabisa duniani; hali ya maisha ya wananchi waliomo katika sekta hii inalingana na nchi kama [[Australia]] au [[Ulaya magharibi]].
 
Kwa upande mwingine hali ya maisha ya sehemu kubwa ya wananchi ni [[umaskini]] kama katika sehemu nyingine za [[Afrika]] au [[Uhindi]] wa ma[[shamba]]nimashambani. Lakini kwa ujumla hali ya maisha iko juu kuliko nchi nyingi za Afrika.
 
Sekta muhimu za uchumi ni [[migodi]] ya kuchimba dhahabu au almasi, viwanda na huduma kama [[benki]] au [[bima]].
 
== Jeshi ==
Mstari 266:
*[http://www.gov.za/ Government of South Africa]
*{{CIA World Factbook link|sf|South Africa}}
* [http://www.africa.com/south-africa/ South Africa] profile from [[Africa.com]]
*[http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/southafrica.htm South Africa] from ''UCB Libraries GovPubs''
*{{dmoz|Regional/Africa/South_Africa}}
*[http://www.oecd.org/southafrica/ South Africa] [[Organisation for Economic Co-operation and Development|OECD]]
*[http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14094760 South Africa] from the [[BBC News]]
*[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/555568/South-Africa South Africa] at ''[[Encyclopædia Britannica]]''
*[http://www.southafrica.info/ SouthAfrica.info]
*[http://www.southafrica.net/sat/content/en/za/home South Africa Tourism]
*{{wikiatlas|South Africa}}
* [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=ZA Key Development Forecasts for South Africa] from [[International Futures]]
* [http://allafrica.com/southafrica/ South Africa in the news]