Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuishi feri, kwamba kuishi
Elekezwa kutoka
Mstari 1:
{{Template:Alfabeti ya Kigiriki kamili}}
 
'''Alfabeti ya Kigiriki''' ni mwandiko wa kuandika lugha ya [[Kigiriki]]. Herufi zake hutumiwa pia kama alama za kisayansi. Ilianzishwa wakati wa ustaarabu wa [[Ugiriki ya Kale]] na imeendelea kutumiwa katika [[Ugiriki]] ya leo.
 
Alfabeti ya Kigiriki ni alfabeti mama ya lugha za [[Ulaya]].
 
Ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa zaidi duniani kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya kihistoria iliyotokana na Kigiriki.
 
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]]. Tofauti kubwa ni alama za [[vokali]] na baadaye badiliko la mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za kisemitiKisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.
 
Sehemu ya herufi zilizopokelewa kutoka Kifinisia ziliachwa baadaye kwa sababu lugha haikuwa na sauti za kulingana. Tangu mwaka 300 KK sehemu ya juu ya alfabeti inayoonyeshwa kwenye sanduku ilikuwa herufi za kawaida na alama za chini hazikutumiwa isipokuwa alama za namba.
Line 24 ⟶ 26:
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://unicode.org/charts/PDF/U0370.pdf Unicode 8.0] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/unicode.html Unicode ya Kigiriki] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/nonattic.html#digamma Digamma (Wau)] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/other_ligatures.html#stigma Stigma] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/unicode_aitch.html#tackheta Heta] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/nonattic.html#san San] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/nonattic.html#koppa Koppa] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/other_nonattic.html#sampi Sampi] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/nonattic.html#sho Sho] {{en}}
 
{{mbegu-lugha}}