Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Elekezwa kutoka
No edit summary
Mstari 1:
{{Template:Alfabeti ya Kigiriki kamili}}
'''Alfabeti ya Kigiriki''' ni [[mwandiko]] maalumu wa kuandika [[lugha]] ya [[Kigiriki]]. [[Herufi]] zake hutumiwa pia kama alama za kisayansi. Ilianzishwa wakati wa ustaarabu wa [[Ugiriki ya Kalealama]] na imeendelea kutumiwa katikaza [[Ugirikisayansi|kisayansi]] ya leo.
 
==Historia==
'''Alfabeti ya Kigiriki''' ni mwandiko wa kuandika lugha ya [[Kigiriki]]. Herufi zake hutumiwa pia kama alama za kisayansi. Ilianzishwa wakati wa ustaarabu wa [[Ugiriki ya Kale]] na imeendelea kutumiwa katika [[Ugiriki]] ya leo.
Alfabeti ya Kigiriki ilianzishwa wakati wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki wa Kale]] na imeendelea kutumiwa hadi katika [[Ugiriki]] ya leo.
 
Ni [[alfabeti]] mama ya lugha za [[Ulaya]], kwa sababu ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa zaidi [[duniani]] kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya [[Historia|kihistoria]] iliyotokana na Kigiriki.
Alfabeti ya Kigiriki ni alfabeti mama ya lugha za [[Ulaya]].
 
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]]. Tofauti kubwa ni alama za [[vokali]] na baadaye badiliko la mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia, tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na wa [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za Kisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.
Ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa zaidi duniani kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya kihistoria iliyotokana na Kigiriki.
 
Sehemu ya herufi zilizopokelewazilizopokewa kutoka Kifinisia ziliachwa baadaye kwa sababu lugha haikuwa na [[sauti]] za kulingana nazo. Tangu [[mwaka]] [[300 KK]] sehemu ya juu ya alfabeti inayoonyeshwa kwenye sanduku ilikuwa herufi za kawaida na alama za chini hazikutumiwa isipokuwa kama alama za [[namba]].
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]]. Tofauti kubwa ni alama za [[vokali]] na baadaye badiliko la mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za Kisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.
 
Katika historia ndefu ya alfabeti hii matamshi ya alama yamebadilika pamoja na mabadiliko ya lugha yenyewe. Mwanafunzi wa [[Kigiriki cha Kale]] anayesoma maandiko ya [[Plato]] au [[vitabu]] vya [[Agano Jipya]] katika lugha asilia ataona matataizomatatizo akijaakifika Ugiriki na kuwasikia Wagiriki wa leo: hata kama anaweza kusoma maandishi yote hataelewa mengi.
Sehemu ya herufi zilizopokelewa kutoka Kifinisia ziliachwa baadaye kwa sababu lugha haikuwa na sauti za kulingana. Tangu mwaka 300 KK sehemu ya juu ya alfabeti inayoonyeshwa kwenye sanduku ilikuwa herufi za kawaida na alama za chini hazikutumiwa isipokuwa alama za namba.
 
== MatimiziMatumizi ya namba ==
Katika historia ndefu ya alfabeti hii matamshi ya alama yamebadilika pamoja na mabadiliko ya lugha yenyewe. Mwanafunzi wa Kigiriki cha Kale anayesoma maandiko ya [[Plato]] au vitabu vya [[Agano Jipya]] katika lugha asilia ataona matataizo akija Ugiriki na kuwasikia Wagiriki wa leo hata kama anaweza kusoma maandishi yote hataelewa mengi.
 
== Matimizi ya namba ==
Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama [[tarakimu]] ya [[namba]] kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee za namba. Herufi tatu za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi ziliendelea kama alama za namba yaani Wau au Stigma = 6 (alama ς), Heta = 8, San, Sho au Koppa = 90 (alama ϙ au ϟ) na Sampi = 900 (alama ͳ au ϡ au kama kwenye sanduku).
 
Mstari 19:
 
== Matumizi ya Kisayansi ==
Herufi za Kigriki zatumiwazinatumiwa sana katika [[hesabu]] na sayansi. Mifano inayojulikana zaidi ni matumizi ya '''α''',''' β''' na '''γ''' kama [[Jina|majina]] ya [[pembe]] za [[pembetatu]].
 
Katika mahesabu ya [[duara]] namba '''[[pi|π]] (pi)''' ni muhimu sana.
 
Kuna matumizi mengi mengine mengi: karibu kila herufi ina maana fulani kisayansi.
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://unicode.org/charts/PDF/U0370.pdf Unicode 8.0] {{en}}
* [http://www.opoudjis.net/unicode/unicode.html Unicode ya Kigiriki] {{en}}
Mstari 40:
 
[[Jamii:Mwandiko|G]]
[[Jamii:Ugiriki wa Kale]]
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki| ]]