Jumuiya ya Afrika Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d (GR) File renamed: File:Logo of EAC.svgFile:Emblem of East African Community.svg File renaming criterion #2: To change from a meaningless or ambiguous name to a name that describes what the image...
Tengua pitio 970279 lililoandikwa na Aliwal2012 (Majadiliano)
Mstari 26:
|leader_name1 = [[John Magufuli]]
|leader_title2 = Mwenyekiti wa Baraza
|leader_name2 = [[Shem Bageine]]
|leader_title3 = Rais wa Mahakama
|leader_name3 = [[Harold Nsekela]]
|leader_title4 = Spika wa Bunge
|leader_name4 = [[Margaret Zziwa]]
|leader_title5 = Katibu Mkuu
|leader_name5 = [[Richard Sezibera]]
|legislature = Bunge la EAC (EALA)
|established_event1 = Mara ya kwanza
Mstari 83:
}}
{{hidden end}}
|time_zone = [[Central Africa Time|CAT]]{{\}}[[East Africa Time|EAT]]
|utc_offset = +2{{\}}+3
|footnote_a = If considered as a single entity.
|footnote_b = To be replaced by the [[East African shilling]]
}}
[[Picha:Africa-countries-EAC.svg|thumb|right|Nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki]]
Mstari 157:
 
==Vipingamizi kuelekea shirikisho==
Kwa ujumla, mataifa wanachama kwa kiasi kikubwa wanaona neema ya Shirikisho la Afrika Mashariki, lakini utafiti usio rasmi unaonyesha kwamba Watanzania wengi (asilimia themanini ya wakazi wake) wana mtazamo hasi.<ref> [http://allafrica.com/stories/200704290112.html allAfrica.com: Tanzania: Fast-Tracking Political Federation]</ref>
 
Tanzania imekuwa na historia ya [[amani]] tangu kunyakua uhuru, ikilinganishwa na fujo na [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vilivyoshuhudiwa katika ma[[taifa]] ya [[Kenya]], [[Rwanda]], [[Burundi]], na [[Uganda]]. Wakati huu Afrika Mashariki inajaribu kudumisha utulivu na mafanikio katikati ya migogoro inayoendelea katika nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Pembe ya Afrika]] na [[Sudan Kusini]].
 
Pia ni kwamba Tanzania peke yake ina [[ardhi]] kubwa kuliko mataifa mengine 4 yakiunganishwa, na baadhi ya Watanzania wana hofu ya unyakuzi wa ardhi na wakazi wa sasa wa mataifa mengine wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.<ref name="Daily_News_Tz_001"> [http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=6650 EAC federation fears justified?] Tanzania's Daily News On Saturday; 5 Mei 2007</ref> <ref Name="mt_elgon_clashes_002"> [http://allafrica.com/stories/200705081059.html Kenya: Tears for Mt Elgon as Schools Re-Open]</ref> <ref Name="Uganda_land_scarcity"> [http://allafrica.com/stories/200705140795.html Sabiny Demand Land as Karamajong Raid Reduce]</ref>
 
Uhaba wa ardhi ni suala nyeti katika eneo la Afrika Mashariki, hasa nchini Kenya, ambako mapigano ya wenyewe kwa wenyewe upande wa [[Mlima Elgon]] mwaka [[2007]] yaliwaacha zaidi ya watu 150 wamefariki na kulazimisha takriban watu wengine 60,000 kugura makazi yao.<ref name="mt_elgon_clashes_001"> [http://www.alertnet.org/db/crisisprofiles/KE_VIO.htm?v=at_a_glance AlertNet] Kenya land clashes kill 60, displace thousands</ref>
 
== Mahakama ya Afrika Mashariki ==
Mstari 172:
 
== Pasipoti ya Afrika Mashariki ==
Pasipoti ya Afrika Mashariki ilizinduliwa rasmi tarehe [[1 Aprili]] [[1999]] ili kurahisisha [[usafiri]] na kuvuka mipaka ya nchi husika.<ref name="EAC News...">[http://web.archive.org/20041221195607/www.eac.int/news_2004_11_EACDay.htm EAC News ...]</ref><ref name="Travelling in East Africa"> [http://web.archive.org/20040701070500/www.eac.int/travelling.htm Travelling in East Africa]</ref> Ni halali kwa kusafiri ndani ya eneo la Afrika Mashariki (Kenya,Uganda na Tanzania) na kutoa [[haki]] ya kuingia na kukaa kwa miezi sita katika nchi yoyote na kisha unaweza ukaitumia tena.<ref name="EAC News..." /> Pasipoti hii inapatikana katika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji katika miji ya Nairobi, Kampala na Dar es Salaam. Ni raia tu wa Afrika Mashariki wanaoweza kuomba pasipoti hii.<ref name="EAC News..." /><ref name="Travelling in East Africa" /> Gharama ya pasipoti hii ni dola 10 za [[Marekani]] au pesa sawa ukibadilisha kwa sarafu za nchi za Afrika mashariki.<ref name="Travelling in East Africa" /> Baada ya kujaza fomu za kupata pasipoti hii itachukua muda wa [[wiki]] mbili au tatu kuipata tayari kwa matumizi. Ingawa pasipoti hii ni halali tu ndani ya Afrika Mashariki, majadiliano yalifanywa ili kuwa na hati sawa za kusafiri kwa watu wote wa Afrika Mashariki.<ref name="EAC News..." />
 
==Visa Moja kwa Watalii==
Mstari 194:
Mtangamano ungehesabiwa kama nchi moja tu, ungekuwa ya 17 [[duniani]] kwa eneo.
 
{{multiple image |align=left |image1=Lake victoria NASA.jpg |width1=180 |caption1=[[Ziwa Victoria]] kati ya nchi za Mtangamano. |alt1=Lake Victoria |image2=Kilimanjaro Tanzania 0046 Nevit.jpg|width2=177 |caption2=[[Mlima Kilimanjaro]], mrefu kuliko yote ya Afrika, uko Tanzania. |alt2=Mount Kilimanjaro|image3=Diani Beach Sunrise Kenya.jpg |width3=195 |caption3=[[Diani Beach]], [[Kilifi County]], [[Kenya]]. |alt3=Diani Beach}}
 
Sudan Kusini, Uganda, Rwanda na Burundi hazina [[pwani]] [[bahari]]ni, lakini zina [[mvua]] za kutosha.
 
Huku inapatikana minne kati ya milima mirefu zaidi [[bara]]ni [[Afrika]]: [[Mlima Kilimanjaro]] (Tanzania), [[Mlima Kenya]] (Kenya), milima ya [[Rwenzori]] (Uganda/[[DRC]]) na [[Mlima Meru]] (Tanzania).
 
*[[Ziwa Turkana]], Kenya, ndiyo ziwa la [[jangwani]] kubwa na lenye [[maji ya chumvi]] nyingi kuliko yote duniani.
 
*[[Ziwa Victoria]] linaunganisha nchi za Kenya, Uganda na Tanzania na ni la pili duniani kwa eneo.
*[[Ziwa TanganyikaVictoria]] masharikilinaunganisha kwanchi za Kenya, Uganda na Tanzania na ni la pili duniani kwa kinaeneo.
 
*[[Ziwa VictoriaTanganyika]] linaunganishamashariki nchi za Kenya, Uganda nakwa Tanzania na ni la pili duniani kwa eneokina.
 
Kenya pekee ina [[jangwa]], Chalbi Desert katika Marsabit County.