14 Juni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Juni}}
== Matukio ==
* [[1502]] - [[Vasco da Gama]] anafikia [[bandari]] ya [[Sofala]] ([[Msumbiji]]) katika safari yake ya pili kutoka [[Ureno]] kwenda [[Uhindi]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1868]] - [[Karl Landsteiner]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1930]])
* [[1924]] - [[James Black]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1988]])
* [[1993]] - [[Thomas Ulimwengu]], [[mchezaji wa mpira]] kutoka [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[1905]] - [[Tippu Tip]], ([[mfanyabiashara]] kutoka [[Tanzania|Mtanzania]] mashuhuri)
* [[1914]] - [[Adlai Stevenson]], [[Kaimu Rais]] wa [[Marekani]] ([[1893]]-97[[1897]])
* [[1968]] - [[Salvatore Quasimodo]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1959]])
* [[1986]] - [[Jorge Luis Borges]], [[mwandishi]] kutoka [[Argentina]]
 
[[Jamii:Juni]]