24 Juni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1386]] - [[Mtakatifu]] [[Yohane wa Kapestrano]], mtawa[[padri]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Italia]]
* [[1883]] - [[Victor Hess]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1936]])
* [[1893]] - [[Jan Matejko]], [[mchoraji]] kutoka [[Poland]]
* [[1927]] - [[Martin Perl]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1995]]
* [[1936]] - [[Paul L. Smith]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1953]] - [[Aloyce Bent Kimaro]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
* [[1960]] - [[Siedah Garrett]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[1977]] - [[Amir Talai]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
* [[1983]] - [[John Lloyd Cruz]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Ufilipino]]
* [[1987]] - [[Lionel Messi]], [[mchezaji wa mpira]] kutoka [[Argentina]]
 
== Waliofariki ==
* [[238]] - [[Maximinus Thrax]], [[Kaisari]] wa [[Dola la Roma]]
* [[1908]] - [[Grover Cleveland]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1885]]-[[1889]]; [[1893]]-[[1897]])
* [[1987]] - [[Jackie Gleason]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]