27 Juni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Juni}}
== Matukio ==
*[[1977]] - Nchi ya [[Jibuti]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Ufaransa]].
 
== Waliozaliwa ==
*[[1869]] - [[Emma Goldman]], [[mwanaharakati]] wa [[utawala huria]] kutoka [[Urusi]] na [[Marekani]]
*[[1869]] - [[Hans Spemann]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1935]])
*[[1880]] - [[Helen Keller]], [[mwandishi]] asiyeona wala kusikia kutoka nchini [[Marekani]]
*[[1959]] - [[Khadja Nin]], [[mwimbaji]] kutoka [[Burundi]]
 
== Waliofariki ==
*[[1844]] - [[Joseph Smith|Joseph Smith, Mdogo]], [[mwanzilishi]] wa [[Wamormoni|Umormoni]] aliuawa
*[[2005]] - [[George Lilanga]], [[msanii]] [[Wamakonde|Mmakonde]] kutoka [[Tanzania]]
 
[[Jamii:Juni]]