28 Juni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Juni}}
 
Kufuatana na [[mapokeo]] ya [[Kanisa Katoliki]], tarehe '''28 Juni''' ni [[sikukuu]] ya [[Mtakatifu Ireneo]], Askofu wa [[LyonsLyon]].
 
== Matukio ==
* [[1243]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa InnocentInosenti IV]]
* [[1914]] - [[Kaisari]]-mteule Ferdinand wa [[Austria]] kuuawa mjini [[Sarajevo]] - kusababisha [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].
* [[1919]] - [[Mkataba wa Versailles]] kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza kati ya [[Ujerumani]] na washindi
 
== Waliozaliwa ==
* [[1476]] - [[Papa Paulo IV]]
* [[1577]] - [[Peter Paul Rubens]], [[mchoraji]] kutoka [[Uholanzi]]
* [[1712]] - [[Jean-Jacques Rousseau]], [[mwanafalsafa]] kutoka [[Ufaransa]]
* [[1867]] - [[Luigi Pirandello]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1934]])
* [[1873]] - [[Alexis Carrel]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1912]])
* [[1906]] - [[Maria Goeppert-Mayer]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1963]])
* [[1927]] - [[Sherwood Rowland]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1995]])
* [[1943]] - [[Klaus von Klitzing]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1985]])
 
== Waliofariki ==
* [[683]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Leo II]]
* [[767]] - Mtakatifu [[Papa Paulo I]]
* [[1836]] - [[James Madison]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1809]]-[[1817]])
* [[2005]] - [[Geoffrey William Griffin]], mkurugenzi mwanzilishi wa [[Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe]], [[Kenya]]
* [[2009]] - [[Billy Mays]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
 
[[Jamii:Juni]]