Makaburu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 970283 lililoandikwa na Aliwal2012 (Majadiliano)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Charles Bell - Jan van Riebeeck se aankoms aan die Kaap.jpg|thumb|[[Jan van Riebeeck]] na wenzake wakifika Afrika Kusini, [[mchoro]] wa [[Charles Bell]].]]
'''Makaburu''' (kutoka [[Hol.Kiholanzi]] na [[Afr.Kiafrikaans]] ''boer'' inayomaanisha [[mkulima]]) ni [[jina]] la walowezi [[wazunguWazungu]] wa [[Afrika Kusini]] na [[Namibia]] wanaotumia [[lugha]] ya [[Kiafrikaans]]. Wenyewe wanajiita mara nyingi '''Afrikaner''' yaani "Waafrika".
 
Wako takriban [[theluthi]] mbili ya wazunguWazungu wa Afrika Kusini au [[milioni]] 1.5. Karibu wote ni [[Wakristo]] [[Waprotestanti]] hasa wa [[madhehebu]] ya [[Wakalvini|Kikalvini]].
 
Baada ya kushindwa katika [[vita yavya pili yavya Makaburu dhidi ya Uingereza]] mwaka [[1902]], na piatena baada ya mwisho wa [[siasa]] ya [[apartheid]], vikundi vya makaburuMakaburu walihamia nje ya nchi kwenda nchi nyingine za [[Afrika]] na pia za [[Amerika]].
 
==Historia==
[[Babu|Mababu]] zaowao ni mchanganyiko wa wahamiaji kutoka [[Uholanzi]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]], waliofika tangu mwaka [[1652]] katika [[koloni]] yala [[Kampuni ya Kiholanzi ya India ya Mashariki]]. Walikaa huko kama wakulima waliouza [[zao|mazao]] kwa [[meli]] zilizozunguka kati ya Uholanzi na kolonimakoloni zaya kampuni katika [[Indonesia]] ya leo. Mwaka 1814 ambako Uingereza ilitwaa utawala juu ya [[Koloni ya Rasi]] na hapo sehemu ya makaburu walianza kuondoka katika eneo la koloni na kuingia katika nchi upande wa kaskazini walipounda jamhuri zao kama [[Transvaal]], [[Dola Huru la Oranje]] na [[Natalia]]. Hasa kufutwa kwa utumwa mwaka 1834, sheria ya kufanya Kiingereza lugha rasmi na matumizi ya sheria za Uingereza zilisababisha kuondoka kwa Makaburu wengi katika koloni ya Rasi waliojulikana kama [[Voortrekker]].
 
Mwaka [[1814]] ambapo Uingereza ilitwaa [[utawala]] juu ya [[Koloni ya Rasi]] na hapo sehemu ya Makaburu walianza kuondoka katika eneo la koloni na kuingia katika nchi upande wa kaskazini walipounda [[jamhuri]] zao kama [[Transvaal]], [[Dola Huru la Oranje]] na [[Natalia]].
Jamhuri za makaburu zilitwaliwa polepole na Waingereza waliowafuata. Jamhuri ya Transvaal ilitambuliwa na Uingereza mara ya kwanza mwaka 1852; ilitwaliwa 1877 lakini baada ya [[vita ya kwanza ya makaburu dhidi ya Uingereza]] uhuru wake ulitambuliwa tena. Waziri mkuu wa serikali ya koloni ya Rasi Cecil Rhodes alikuwa adui wa uhuru wa makaburu na baada ya kupatikana kwa almasi katika eneo la Johannesburg alijaribu kupindua serikali ya Transvaal. hii ilisababisha [[vita ya pili ya Makaburu dhidi ya Uingereza]]. Waingereza walishinda na katika [[amani ya Vereeniging]] makaburu walipaswa kukubali ubwana wa Uingereza. Lakini miaka kadhaa baadaye Uingereza uliwapa makaburu haki ya kujitawala katika mambo ya ndani.
 
Hasa kufutwa kwa [[utumwa]] mwaka [[1834]], sheria ya kufanya [[Kiingereza]] [[lugha rasmi]] na matumizi ya [[sheria]] za Uingereza vilisababisha kuondoka kwa Makaburu wengi katika koloni ya Rasi waliojulikana kama [[Voortrekker]].
1910 maeneo ya Kiingereza pamoja na majimbo ya Makaburu yaliungana kuwa [[Muungano wa Afrika Kusini]]. Hapo lugha ya [[Kiholanzi]] (lugha mama ya Kiafrikaans) ilitambuliwa kama lugha rasmi ya nchi pamoja na Kiingereza. 1925 Kiafrikaans ilikubaliwa kama lugha rasmi badala ya Kiholanzi.
 
Jamhuri za Makaburu zilitwaliwa polepole na Waingereza waliowafuata walikohamia. Jamhuri ya Transvaal ilitambuliwa na Uingereza mara ya kwanza mwaka [[1852]]; ilitwaliwa mwaka 1877 lakini baada ya [[vita vya kwanza vya Makaburu dhidi ya Uingereza]] [[uhuru]] wake ulitambuliwa tena.
Chama cha kisiasa kilichopigania haki na matakwa ya Makaburu kilikuwa hasa chama cha National Party ([[Afr.]]: Nasionale Party). Mwaka 1948 chama hiki kilipata kura nyingi kikaanzisha siasa ya [[Apartheid]] iliyodumu hadi mwaka 1990 ambako viongozi walikubali ya kwamba haiwezekani kusimamia nchi dhidi ya mapenzi ya wananchi wengi yaani Waafrika waliobaguliwa katika muundo wa Apartheid.
 
Jamhuri za makaburu zilitwaliwa polepole na Waingereza waliowafuata. Jamhuri ya Transvaal ilitambuliwa na Uingereza mara ya kwanza mwaka 1852; ilitwaliwa 1877 lakini baada ya [[vitaWaziri ya kwanza ya makaburu dhidi ya Uingerezamkuu]] uhuru wake ulitambuliwa tena. Waziri mkuu wa [[serikali]] ya koloni ya Rasi [[Cecil Rhodes]] alikuwa adui wa uhuru wa makaburuMakaburu na baada ya kupatikana kwa [[almasi]] katika eneo la Johannesburg alijaribu kupindua serikali ya Transvaal. hiiHii ilisababisha [[vita yavya pili yavya Makaburu dhidi ya Uingereza]]. Waingereza walishinda na katika [[amani ya Vereeniging]] makaburuMakaburu walipaswa kukubali ubwana wa Uingereza. Lakini miaka kadhaa baadaye Uingereza uliwapa makaburuMakaburu haki ya kujitawala katika mambo ya ndani.
Makaburu wengi waliendelea kupigia kura National Party na hivyo kudumisha siasa ya ubaguzi wa rangi hadi mwisho wake 1990.
 
Mwaka [[1910]] maeneo ya Kiingereza pamoja na majimbo ya Makaburu yaliungana kuwa [[Muungano wa Afrika Kusini]]. Hapo lugha ya [[Kiholanzi]] ([[lugha mama]] ya Kiafrikaans) ilitambuliwa kama lugha rasmi ya nchi pamoja na Kiingereza. Mwaka [[1925]] Kiafrikaans ilikubaliwa kama lugha rasmi badala ya Kiholanzi.
 
[[Chama cha kisiasa]] kilichopigania [[haki]] na matakwa ya Makaburu kilikuwa hasa chama cha National Party ([[Afr.]]: Nasionale Party). Mwaka [[1948]] chama hiki kilipata [[kura]] nyingi kikaanzisha siasa ya [[Apartheid]] iliyodumu hadi mwaka [[1990 ambako viongozi walikubali ya kwamba haiwezekani kusimamia nchi dhidi ya mapenzi ya wananchi wengi yaani Waafrika waliobaguliwa katika muundo wa Apartheid]].
 
Makaburu wengi waliendelea kupigia kura National Party na hivyo kudumisha siasa ya [[ubaguzi wa rangi]] hadi mwisho wake 1990, ambapo viongozi walikubali ya kwamba haiwezekani kusimamia nchi dhidi ya mapenzi ya wananchi wengi yaani Waafrika waliobaguliwa katika muundo wa Apartheid.
 
== Tazama pia ==
Line 26 ⟶ 33:
{{Reflist|2}}
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons category-inline|Boers}}
 
[[Jamii:Watu wa Afrika Kusini]]
[[Jamii:Watu wa Namibia]]
[[Jamii:Makaburu|*]]
[[Jamii:Historia ya Afrika Kusini]]