Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

no edit summary
(Tengua pitio 952555 lililoandikwa na 197.250.53.4 (Majadiliano))
'''Methali''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[usemi]] mfupi wa mapokeo unaodokeza kwa muhtasari fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa maisha ya jamii husika. KauliNi kauli fupi yenye pande mbili za fikra, kwa mfano: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
 
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake, baadhi ya methali za [[Kiswahili]] ni kama: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
 
==Methali za Kiswahili==
Baadhi ya methali za [[Kiswahili]] ni kama:
{| class="wikitable sortable"
|-