Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|[[Mchoro]] unaonyesha namna watu wanavyocheza tamthilia.]]
'''Tamthilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni moja kati ya sehemu za [[utunzi]] wa [[hadithi]] au [[fasihi simulizi]] ([[ngano]] au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona katika makumbi au kupitia [[televisheni]], au tunasikia kupitia [[redio]].
 
Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazungumzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutazami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.
Mstari 17:
#[[Simboliki]] - huu unahusu [[fikra]] za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo si muhimu. Simboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama "expressionistic". Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
 
{{mbegu-lughafasihi}}
 
[[Jamii:Tamthilia|*]]