Fikira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9420 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Fikira''' au '''Fikra''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[ujumbe]] uliotumwa kutoka [[akili|akilini]] kwa ajili ya [[viumbe hai]] ili kujua kutenda jambo bila kukosea.

Fikra husaidia na maamuzi na wakati: [[wanyama]] mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani, kujua ninini kesho atafanya, lakini [[wanadamu]] hutumia fikra na kufikiria na kuvumbua vitu ambavyo vinahitajika. Bila fikra za mawazo, [[dunia]] isingeendelea sana.
 
== Marejeo ==
* Eric Baum (2004). ''What is Thought'', Chapter Two: The Mind is a Computer Program. MIT Press. ISBN 0-262-02548-5
 
== Viungo vya Njenje ==
* {{cite web|url=http://www.americanscientist.org/template/CreateToken?type=PDF&assetid=55246 |title= The Uniqueness of Human Recursive Thinking |accessdate=2007-04-23 |last=Corballis |first=Michael C. |format=PDF |work=American Scientist (Mei-Juni 2007) }}
{{Mbegu-sayansi}}