Spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 102 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7432 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi]]
'''Spishi''' ''(kutoka [[Kilatini]] "species", yaani: aina, maumbile)'' katika [[biolojia]] ni jina la kutaja kundi la [[wanyama]] au [[mimea]] wa aina moja. Spishi ni Kitengokitengo muhimu katika [[uainishaji wa kisayansi]].
 
Kwa kuhesabiwa katika spishi ileile haitoshi kama viumbe vinafanana sana, ni lazima yawaweze kwamba vinaweza kuzaa pamojakuzaliana na kuwa na watoto ambao wanaweza kuzaa tena.
'''Spishi''' ''(kutoka [[Kilatini]] "species" yaani aina, maumbile)'' katika [[biolojia]] ni jina la kutaja kundi la wanyama au mimea wa aina moja. Spishi ni Kitengo muhimu katika [[uainishaji wa kisayansi]].
 
Kwa mfano, [[farasi]] na [[punda]] ni spishi mbili tofauti zinazoweza kuzaakuzaliana lakini watoto wao, wanaoitwa [[baghala]], hawazai tena. [[Mbwa]] wote ni spishi moja, hata kama wanaonekana na maumbile tofauti kutokana na [[historia]] ya [[ufugaji]] wa kuteua sifa kadhaa tu kwa kuzaana. Lakini hata mbwa mkubwa kabisa anaweza kuzaakuzaliana na mbwa mdogo na watoto wao wanazaa tena.
Kwa kuhesabiwa katika spishi ileile haitoshi kama viumbe vinafanana sana ni lazima ya kwamba vinaweza kuzaa pamoja na kuwa na watoto ambao wanaweza kuzaa tena.
 
Kwa mfano [[farasi]] na [[punda]] ni spishi mbili tofauti zinazoweza kuzaa lakini watoto wao wanaoitwa [[baghala]] hawazai tena. [[Mbwa]] wote ni spishi moja hata kama wanaonekana na maumbile tofauti kutokana na historia ya ufugaji wa kuteua sifa kadhaa tu kwa kuzaana. Lakini hata mbwa mkubwa kabisa anaweza kuzaa na mbwa mdogo na watoto wao wanazaa tena.
 
Spishi za karibu hupangwa pamoja katika [[jenasi]].
 
Mfano: [[mbwa]], [[mbweha]], [[mbweha wa Ethiopia]] na [[koyote]] wa [[Marekani]] wote ni spishi mbalimbali waza jenasi inayoitwa "canisCanis".
 
== Nususpishi ==
Nususpishi ni aina ndani ya spishi moja inayoonesha tofauti za wazi na spishi kwa jumla. Viumbe vya nususpishi moja wanaweza kuzaa na viumbe vya nususpishi nyingine lakini hii haitokei kwa kawaida; mfano moja ni ya kwamba eneo la nususpishi lipo mbali kwa hiyo hawakutani.
 
Nususpishi inapewa neno la tatu ndani ya jina lake.
 
== Jina la kisayansi ==
Kila spishi inaweza kupewa [[jina la kisayansi]] kufuatana na kanuni za uainishaji. Hali halisi wanyama wakubwa wameshaainishwa karibu wote lakini bado kuna [[wadudu]], viumbehai wa [[Bahari|baharini wengi]] na [[bakteria]] wengi ambao hawakuainishwahawajaainishwa bado.
 
Jina la spishi huwa na maneno mawili: Kwanza jina la [[jenasi]] (linaloanza kwa [[herufi]] kubwa) halafu neno la pili la kutofautisha spishi (linaloanza kwa herufi ndogo).
 
Kwa mfano jina la [[paka]] ni "Felis silvestris". Felis ni jenasi na paka yumo pamoja na wanyama wengine wanaofanana naye kama [[simba]], [[tiger]] au [[chui]]. Ndani ya spishi la Felis silvestris kuna nususpishi kadhaa; kwa mfano paka wa porini wa [[Afrika Kaskazini]] ''(Felis silvestris lybica)'' anayeaminiwa kuwa asili chaya paka wa nyumbani ''(Felis silvestris catus)''.
 
{{mbegu-biologiabiolojia}}
 
[[Jamii:Uainishaji]]
[[Jamii:Biolojia]]