Isamu Akasaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Isamu Akasaki''' (amezaliwa 30 Januari, 1929) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza dutu za...'
 
d rekebisha mwaka
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Isamu Akasaki''' (amezaliwa [[30 Januari]], [[1929]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Japani]]. Hasa amechunguza dutu za nusu kipitishi na kubuni [[diodi]] ya kutoa [[nuru]]. Mwaka wa [[20132014]], pamoja na [[Hiroshi Amano]] na [[Shuji Nakamura]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.
 
{{mbegu-Nobel}}