12 Julai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Julai}}
== Matukio ==
* [[1276]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Adrian V]]
* [[1691]] - Uchaguzi wa [[Papa Innocent XII]]
* [[1730]] - Uchaguzi wa [[Papa Klementi XII]]
* [[1975]] - [[Visiwa]] vya [[Sao Tome na Principe]] vinapata [[uhuru]] kutoka [[Ureno]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1803]] - [[Mtakatifu]] [[Peter Chanel]], [[padre]] [[Mkatoliki]] na [[mfiadini]] kutoka [[Ufaransa]]
* [[1904]] - [[Pablo Neruda]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1971]])
* [[1912]] - [[Kardinali]] [[Laurean Rugambwa]], [[askofu mkuu]] wa [[Dar es Salaam]] nchini [[Tanzania]]
* [[1913]] - [[Willis Lamb]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1955]])
* [[1928]] - [[Elias Corey]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1990]])
* [[1948]] - [[Richard Simmons]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1956]] - [[Wilson Mutagaywa Masilingi]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[1073]] - Mtakatifu [[Yohane Gualberto]], [[mmonaki]]
* [[1931]] - [[Nathan Söderblom]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[1930]])
* [[2013]] - [[Pran]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Uhindi]]