30 Julai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1869]] - [[Mtakatifu]] [[Kristofa Magallanes]], [[padri]] na [[mfiadini]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Meksiko]]
* [[1911]] - [[Czeslaw Milosz]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1980]])
* [[1945]] - [[Patrick Modiano]], [[mwandishi]] kutoka [[Ufaransa]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[2014]]
* [[1961]] - [[Laurence Fishburne]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1999]] - [[Joey King]], mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[579]] - [[Papa Benedikto I]]
* [[1898]] - [[Otto von Bismarck]], [[Chansella]] wa [[Dola la Ujerumani]] ([[1862]]-[[1890]])
* [[2005]] - [[John Garang]], [[Rais]] wa kwanza wa [[Sudan Kusini]]
* [[2007]] - [[Ingmar Bergman]], [[mwongozaji wa filamu]] kutoka [[Uswidi]]
 
[[Jamii:Julai]]