Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 144:
Hatua hii ilisababisha [[Vita ya Marekani na Mexiko]] ya 1846 - 1848. Mexiko ikashindwa na kazkazini yote ikawa sehemu ya Marekani ([[Kalifornia]], [[New Mexico]], [[Arizona]], [[Nevada]], [[Utah]] na [[Colorado]], jumla [[theluthi]] moja ya eneo lake lote.
 
Mexiko ilishambuliwa mara mbili na Ufaransa kutokana na madai juu ya [[madeni]] ya taifa kwa raia au benki za nje. Kwenye [[vita ya keki]] (1838-39) Ufaransa ilidai fidia kwa uharibifu uliotokea katika duka la keki la Mfaransa mjini Mexiko na [[manowari]] za Ufaransa zilishambulia mabandari ya Mexiko hadi raisi yake kukubali deni hili. Mashambulio makubwa zaidi yalifuata mwaka 1861. Mexiko ilishindwa kulipa madeni kwa mataifa ya nje. Ufaransa chini ya [[Napoleon III]] iliamua kufanya Mexiko nusu-koloni yake; jeshi la Ufaransa ilivamia nchi, kufukuza serikali na kumweka Mwaustria [[Maximilian I wa Mexiko|Maximilian I]] kama "Kaisari wa Mexiko". Serikali ya rais [[Benito Juarez]] alipinga uvamizi huu kwa njia ya vita ya wanamigambo na 1866 Wafaransa walipaswa kuondoka tena, Maximilian aliuawa 1867.
 
====Karne ya 20====