Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 126:
 
====Vita ya uhuru ====
Mfano wa [[Vita ya uhuru wa Marekani|uhuru wa Marekani]] mwaka [[1776]] ilikuwaulikuwa na athira pia kati ya wasomi wenyeji wa Mexiko. Jamii ya kikoloni liliundwailiundwa juu ya [[ubaguzi]] kati ya Kreoli (wenyejiwalowezi wenye asili ya Hispania bila mchanganyiko na Waindio), Mestizos (asilimia kubwa ya wenyeji waliotokana na [[ndoa]] za [[wanaume]] Wahispania na wake[[wanawake]] Waindio) na Waindio wenyewe. Lakini vyeo vyote vya juu, kama maafisa wa juu wa serikali, vilipatikana pekee kwa watu waliozaliwa Hispania na kutumwa Mexiko. Mawazo ya uhuru yalianza kupatikana kati ya Kreoli na Mestizos wa tabakamatabaka zaya juu.
 
Chanzo cha vita ya uhuru kilikuwa mabadiliko katika [[Ulaya]]. [[Napoleon Bonaparte|Napoleon]] mtawala wa [[Ufaransa]] alimkamata mfalme [[Ferdinand VII]] wa Hispania akamlazimisha kujiuzulu na kumpa kakaye[[kaka]] Josephyake [[Yosefu Napoleon]] [[ufalme wa Hispania]]. Hatua hii ilifuatwa na wimbi la uasi nchini Hispania dhidi ya mfalme Mfaransa. Katika Hispania Mpya (Mexico) kamati za miji kadhaa zilizoongowa na Kreoli ziliapa kumfuata mfalme mfungwa halali pekee. Kamati Kuu ya Mexiko City ilitaka kuanzisha bunge la pekee kwa sababu Hispania haikuwa tena na serikali halali. Mfalme mdogo (gavana mkuu) alikubali. Viongozi wengine walitangaza ilhali mfalme halali hayuko tena sasa nguvu yote iko mkononi mwa wananchi. Hapo Wahispania katika koloni walioshika vyeo vikuu waliamua kumpindua mfalme mdogo na kuwakamata viongozi wa Kreoli. Uasi ulifaulu lakini vikundi vidogo vya wapinzani kwa uhuru kutoka Hispania waliendelea kukutana nchini na kukusanya viongozi. Hatimaye padre Kreoli [[Miguel Hidalgo y Costilla]] alikusanya jeshi la wanamigambo wakulima Waindio na Kreoli akapigana na jeshi lililokuwa chini ya mamlaka ya maofisa Wahispania. Miguel Hidalgo alishindwa na kuuawa lakini hii ilikuwa chanzo cha uasi mkubwa ambako Wakreoli na wakulima Waindio walipigana na jeshi lililofuata amri ya Wahispania katika koloni.
 
Katika Hispania Mpya (Mexico) kamati za miji kadhaa zilizoongozwa na Kreoli ziliapa kumfuata mfalme mfungwa halali pekee. Kamati Kuu ya Mexiko City ilitaka kuanzisha bunge la pekee kwa sababu Hispania haikuwa tena na serikali halali. Mfalme mdogo (gavana mkuu) alikubali. Viongozi wengine walitangaza ilhali mfalme halali hayuko tena sasa, nguvu yote iko mkononi mwa wananchi. Hapo Wahispania katika koloni walioshika vyeo vikuu waliamua kumpindua mfalme mdogo na kuwakamata viongozi wa Kreoli.
Mwaka kiongozi wa upande wa migambo ya uhuru Guerrero na jenerali wa jeshi la serikali [[Agustin de Iturbide]] walikutana wakapatana kuungana. Vikosi vingi vya jeshi la kikoloni vilihamia upande wao. Gavana mpya aliyefika kutoka Hispania aliamua kukubali uhuru uliotangazwa tarehe 28 Septemba 1821. Iturbide alikuwa [[rais]] wa kwanza na baadaye kwa kipindi kifupi [[Kaisari]] wa Mexiko hadi kujiuzulu mwaka 1823 na Mexiko ikaendelea kuwa [[jamhuri]].
 
Uasi ulifaulu lakini vikundi vidogo vya wapinzani wa uhuru kutoka Hispania waliendelea kukutana nchini na kukusanya viongozi. Hatimaye [[padre]] Kreoli [[Miguel Hidalgo y Costilla]] alikusanya jeshi la [[wanamgambo]] [[wakulima]] Waindio na Kreoli akapigana na jeshi lililokuwa chini ya mamlaka ya maofisa Wahispania. Miguel Hidalgo alishindwa na kuuawa, lakini hii ilikuwa chanzo cha uasi mkubwa ambao Wakreoli na wakulima Waindio walipigana na jeshi lililofuata amri ya Wahispania katika koloni.
 
Mwaka kiongozi wa upande wa migambo ya uhuru Guerrero na jenerali wa jeshi la serikali [[Agustin de Iturbide]] walikutana wakapatana kuungana. Vikosi vingi vya jeshi la kikoloni vilihamia upande wao. Gavana mpya aliyefika kutoka Hispania aliamua kukubali uhuru uliotangazwa tarehe [[28 Septemba]] [[1821]]. Iturbide alikuwa [[rais]] wa kwanza na baadaye kwa kipindi kifupi [[Kaisari]] wa Mexiko hadi kujiuzulu mwaka [[1823]]: nahapo Mexiko ikaendelea kuwa [[jamhuri]].
 
====Karne ya 19====