Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 137:
 
====Karne ya 19====
[[Picha:Mexico's Territorial Evolution.png|300px|thumbnail|Maeneo yaliyoongezwa, yaliyotengwa au kujitenga na Mexiko tangu uhuru wa mwaka 1821: A) Maeneo yaliyotwaliwa na Marekani (nyekundu, kichungwa, nyeupe), Chiapas kuchukuliwa kutoka Guatemala (buluu), eneo la Yucatan lililotwaliwa (nyekundu) na maeneo ya Shirikisho la Amerika ya kati (dhambarau)]]
Katika miaka iliyofuata nchi haikupata msimamo imara kisiasa wala kiuchumi. Serikali mara nyingi zilikuwa hafifu na kubadilishana.
 
Vikundi vya [[ushikiiaji ukale]] na [[uliberali]] vilipigana hadi kuingia katika [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]].
 
Mwaka wa uhuru maeneo ya kusini yalijitenga na kuwa [[Shirikisho la Amerika ya Kati]] lililofarakana baadaye kuwa nchi za [[Guatemala]], [[Honduras]], [[El Salvador]], [[Nikaragua]] na [[Costa Rica]].
 
Mwaka [[1835]] Marekani iliojaribuilijaribu kununua maeneo ya [[Texas]] na [[Kalifornia]] lakini Mesxiko ilikataa. Hata hivyo utawala wa Mexiko kuhusu maeneo haya ya kaskazini yake ulikuwa hafifu na wa juujuu tu, Waindio wenyeji walijitegemea hali halisi nje ya miji michache. Hivyo serikali ya Mexiko ilikaribisha walowezi kutoka Marekani kuhamia Texas. Hao walowezi wenye utamaduni wa [[Kiingereza]]-Kimarekani walitangaza uhuru wao mwaka [[1836]] wakaunda [[Jamhuri ya Texas]] iliyochukuliwa na Marekani mwaka [[1845]] kuwa jimbo lake.
 
Hatua hii ilisababisha [[Vita ya Marekani na Mexiko]] ya miaka [[1846]] - [[1848]]. Mexiko ikashindwa na kazkazinikaskazini yote ikawa sehemu ya Marekani ([[Kalifornia]], [[New Mexico]], [[Arizona]], [[Nevada]], [[Utah]] na [[Colorado]], jumla [[theluthi]] moja ya eneo lake lote.
 
Mexiko ilishambuliwa mara mbili na [[Ufaransa]] kutokana na madai juu ya [[madeni]] ya taifa kwa [[raia]] au [[benki]] za nje. Kwenye [[vita ya keki]] ([[1838]]-39[[1839]]) Ufaransa ilidai fidia kwa uharibifu uliotokea katika duka la keki la Mfaransa mjini Mexiko na [[manowari]] za Ufaransa zilishambulia mabandaribandari yaza Mexiko hadi raisirais yakewake kukubali deni hili.

Mashambulio makubwa zaidi yalifuata mwaka [[1861]]. Mexiko ilishindwa kulipa madeni kwa mataifa ya nje. Ufaransa chini ya [[Napoleon III]] iliamua kufanya Mexiko nusu-koloni yake; jeshi la Ufaransa ilivamia nchi, kufukuza serikali na kumweka [[Mwaustria]] [[]][[Maximilian I wa Mexiko|Maximilian I]] kama "Kaisari wa Mexiko". Serikali ya rais [[Benito Juarez]] alipingailipinga uvamizi huu kwa njia ya vita ya wanamigambowanamgambo na mwaka [[1866]] Wafaransa walipaswa kuondoka tena, Maximilian aliuawa mwaka [[1867]].
 
====Karne ya 20====