Abedi Amani Karume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 970687 lililoandikwa na 196.249.64.22 (Majadiliano)
 
Mstari 1:
[[File:Abeid Karume 1964.jpg|thumb|Karume]]
'''Sheikh Abeid Amani Karume''' alikuwa [[Rais]] wa kwanza wa [[Zanzibar]]. Alizaliwa mwaka [[1905]] na kufariki tarehe [[7 Aprili]] [[1972]] kwa kupigwa [[risasi]].
 
Karume aliongoza nchi baada ya [[mapinduzi]] yaliyomwangusha [[Sultani]] aliyekuwa akitawala Zanzibar hadi mwanzoni mwa mwaka [[1964]].
 
Baada ya miezi mitatu Zanzibar iliungana na [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] iliyokuwa ikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]]. Baada ya [[muungano]] wa nchi hizi mbili uliozaa [[Tanzania]], Karume alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
[[Amani Abeid Karume]], ambaye ni [[mtoto]] wa Sheikh Karume, alikuwa rais wa Zanzibar tangu mwaka [[2000]] hadi [[2010]].
 
{{start box}}