Tofauti kati ya marekesbisho "Chama cha kisiasa"

4 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
kiungo
(kiungo)
Vyama mara nyingi hutamka mwelekeo au itikadi fulani inayoandikwa katika programu yao.
 
Katika [[mfumo wa vyama vingi]] kila chama kinagombea nafasi za bunge au serikali dhidi ya vyama vingine. Wakati wa uchaguzi kila chama kinapaswa kujieleza, kutetea matendo yake ya nyuma na kuonyesha jinsi gani kinavyotaka kuboresha mambo tofauti na vyama vingine. Kwa njia hii kila chama huchangia kwenye harakati ya kujenga nia ya jamii inamofanya kazi kama inashinda au kushindwa kwenye uchaguzi.
 
Penye mfumo wa chama kimoja kazi ya chama kitakuwa tofauti. Historia inna mifano ya kwamba chama cha pekee kinaelekea kwenye [[udikteta]] kwa viwango tofauti.