Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 149:
 
=== Upanuzi wa utemi wa Moscow ===
Kubwa kati ya maeneo yale madogo ulikuwa [[utemi wa Moscow]]. Watemi wa Moscow walichukua nafasi ya kwanza kuunganisha [[WasalvoniWaslavoni wa Mashariki]] dhidi ya Wamongolia na kupanua utawala wao.
 
Baada ya anguko la [[Konstantinopoli]] mwaka [[1453]] watawala wa Moscow walipokea cheo cha [[Kaisari]] wa [[Roma]] kilichoitwa "[[tsar]]" na kuwa cheo cha watawala wa Urusi hadi mwaka [[1917]].
 
HadiMpaka [[karne ya 18]] eneo la Moscow lilikuwa tayari kubwa likabadilika kuwa [[Milki ya Kirusi]] iliyoendelea kupanuakupanuka katika [[Siberia]] na [[Asia ya Kati]]., Sasa ilikuwaikawa kati ya milki kubwa kabisa za historia ikienea kutoka [[Poland]] upande wa magharibi hadi [[bahari]] ya [[Pasifiki]] upande wa mashariki.
 
=== Matengenezo ya kisiasa chini ya Petro I ===