Baba yetu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
foto
No edit summary
Mstari 1:
'''Baba yetu''' (kwa [[Kigiriki]] Πάτερ ἡμῶν, Pater emon) ni maneno ya kwanza ya [[sala]] inayotokana na [[Yesu]] mwenyewe. InaitwaKwa sababu hiyo inaitwa pia "'''Sala ya Bwana'''".

Kimataifa kuna pia jina la "Paternoster" kutokana na umbo la [[Kilatini]] la sala (Baba = "Pater"; yetu = "noster").
 
Ndiyo sala ya [[Ukristo|Kikristo]] inayojulikana zaidi. [[Madhehebu]] mengi huitumia katika kila [[ibada]].
 
Line 5 ⟶ 8:
[[Picha:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|200px|''[[Hotuba ya mlimani]]'', mchoro wa [[Carl Heinrich Bloch]] ([[1890]]).]]
[[Picha:Pater Noster in Cantus Planus.png|thumb|Pater Noster ikiwa na [[noti]] za [[muziki wa Kigregori]].]]
Kufuatana na taarifa za [[Injili ya Luka]] (11:2-4) maneno ya sala hii yalitolewa na [[Yesu Kristo]] alipoombwa na wanafunzi wake kuwafundishaawafundishe jinsi ya kusali baada ya wao kutambua kidogo anavyosali vizuri.
[[File:Swahili-pn.jpg|thumb]]
 
Kufuatana na taarifa za [[Injili ya Luka]] (11:2-4) maneno ya sala hii yalitolewa na [[Yesu Kristo]] alipoombwa na wanafunzi wake kuwafundisha jinsi ya kusali.
 
Katika [[Agano Jipya]] la [[Biblia ya Kikristo]] tunakuta sala hiyo kama kiini cha [[Hotuba ya mlimani]] ([[Injili ya Mathayo]] mlango wa 6, aya 13-19). Ni kama ifuatavyo:
Line 36 ⟶ 37:
:''alla rhusai hēmas apo tou ponērou.
:''Amēn.
 
Toleo la [[Luka mwinjili|Luka]] ni fupi zaidi, likiwa na maombi 5 tu badala ya 7.
 
== Tafsiri za Kiswahili ==
Line 127 ⟶ 130:
 
== Mengineyo ==
[[File:Swahili-pn.jpg|thumb|Baba Yetu kwa Kiswahili mjini Yerusalemu.]]
=== Baba Yetu kwa lugha nyingi ===
Katika "Bustani ya ufufuo" (Resurrection Gardens) [[Mji|mjini]] [[Nairobi]], [[mtaa]] wa [[Karen]], kuna maonyesho ya [[tafsiri]] ya Baba Yetu katika lugha [[Mia|mamia]]. Maneno yamechongwa na [[wasanii]] katika [[jiwe|mawe]], katika [[ubao]] au kuchorwa kwenye [[kigae|vigae]]. Hii inafuata mfano wa [[kanisa]] la Paternoster mjini [[Yerusalemu]] penyelenye tafsiri za Baba Yetu kwa lugha 140 kwenye vigae vya [[rangi]] (tazama Viungo vya Nje hapo chini).
 
=== Wimbo ya Baba Yetu kwa Kiswahili ===
Kuna [[wimbo]] wa Baba Yetu katika [[muziki]] wa mchezo wa [[kompyuta]] "Civilization IV". Wimbo huu unasikika kila wakati wa kuanza mchezo. Ulitungwa na [[Christopher Tin]] kutoka [[Marekani]].
 
Wimbo ni wa kuvutia lakini kwa bahati mbaya maneno ya sala yamefupishwa kwa namna inayodokeza kwamba [[mhariri]] asiyeelewa Kiswahili alipangaaliyepanga maneno kwa [[tuni]] na pia [[waimbaji]] hawakuelewa Kiswahili.
 
== Viungo vya Nje ==
Line 141 ⟶ 145:
* [http://www.v-a.com/bible/prayer.html Baba Yetu kwa [[Kiaramu]], pamoja na sauti.]
* [http://www.vatican.va/archive/ENG0015/__P9V.HTM Ufafanuzi wa [[Kiingereza]] wa Baba Yetu katika [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki]].]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Ukristo]]