Tofauti kati ya marekesbisho "Chama cha kisiasa"

25 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(kiungo)
 
'''Chama cha kisiasa''' ni maungano ya [[watu]] wanaotafuta [[mamlaka]] katika [[dola]] na hasa [[serikali]] kwa kusudi la kutekeleza shabaha za kisiasa au za kifalsafa pamoja na faida kwa ajili ya vikundi fulani faida zao za binafsi.
[[Picha:Grüne- Verdi Südtirol.gif|thumb|Alama ya ''Chama cha Mazingira''/''"Chama cha Kijani"'' cha [[Tirolo Kusini]]/[[Italia]], kwa [[lugha]] tatu za [[wilaya]]: Kitaliani[[Kiitalia]], [[Kijerumani]] na [[Kiladini]].]]
Vyama mara nyingi hutamka mwelekeo au [[itikadi]] fulani inayoandikwa katika [[programu]] yao.
 
Katika [[mfumo wa vyama vingi]] kila chama kinagombea nafasi za [[bunge]] au [[serikali]] dhidi ya vyama vingine. Wakati wa [[uchaguzi]] kila chama kinapaswa kujieleza, kutetea matendo yake ya nyuma na kuonyesha jinsi gani kinavyotaka kuboresha mambo tofauti na vyama vingine. Kwa njia hii kila chama huchangia kwenye [[harakati]] ya kujenga nia ya [[jamii]] inamofanya kazi kama inashinda au kushindwa kwenye uchaguzi.
 
Penye [[mfumo wa chama kimoja]] kazi ya chama kitakuwaitakuwa tofauti. [[Historia]] innaina mifano ya kwamba chama cha pekee kinaelekea kwenye [[udikteta]] kwa viwango tofauti.
 
Vyama hutofautiana sana kuhusu kiasi cha tofauti za maoni zinazoruhusiwa ndani yao, uhusiano kati ya viongozi na wanachama, kiasi cha uwezo wa wanachama kuathiri mwelekeo wa chama na umuhimu wa programu.
 
{{mbegu-siasa}}
Vyama vya kisiasa vingine:
 
''Chama cha Uma Demokrati'' - CUD
 
''Chama cha Mazingira''
 
''"Chama cha Kijani"''
 
 
[[Jamii:Siasa| ]]