Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
no stub
Mstari 115:
[[Waskandinavia]] waliunda [[dola]] la kwanza katika eneo la [[Kiev]], wakalitawala kama dola la Kislavoni. Wenyewe waliingia haraka katika [[lugha]] na [[utamaduni]] wa wenyeji, lakini waliacha jina lao kwa sababu "Rus" kiasili ilikuwa jina la Waskandinavia wale kutoka [[Uswidi]] ya leo.
 
Mwaka [[988]] Kiev ilipokea [[Ukristo]] wa [[Kiorthodoksi]] kutoka [[Bizanti]]. Tukio hilo liliathiri moja kwa moja [[utamaduni]] na historia yote iliyofuata.
 
Dola la Kiev liliporomoka kutokana na mashambulio ya [[Wamongolia]] baada ya [[Jingis Khan]], na maeneo madogo zaidi yalijitokeza yaliyopaswa kukubali ubwana wa Wamongolia.