Krim : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map of Ukraine political simple Oblast Krim.png|thumb|250px|Krim katika Ukraine]]
[[Picha:LocationCrimea.PNG|thumb|250px|Mahali pa Krim (kijani cheusi) katika Ukraine (kijani cheupe) na Ulaya]]
'''Krim''' ([[Rus.]] Крым ''Krym''; [[Ukr.]] Крим Krim; [[Kitartari]] Qırım; [[ing.]] ''Crimea'') ni [[rasi]] kwenye upande wa kaskazini ya [[Bahari Nyeusi]] yenye eneo la 26.100 [[km²]]. Kisiasa ni jimbo la kujitawala ndani ya nchi ya [[Ukraine]] na jina rasmi ni "Jamhuri ya kujitawala ya Krim". Tangu mwaka 2014 ilivamiwa na kutekwa na jeshi la [[Urusi]]. Zaidi ya nusu ya wakazi 1.994.300 (mwaka 2005) ni Warusi (58,5 %), takriban robo Waukraine (24,4 %) halafu kuna pia Tartari 243.400 (12,1 %).
 
==Historia==
Mstari 18:
Mwaka 1954 serikali ya Umoja wa Kisovyieti iliamua kuhamisha eneo lote la Krim kutoka jamhuri ya Urusi kwenda [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine]]. Kuanzia miaka ya 1980 Watartari walianza kurudi Krim kutoka sehemu za Asia ya Kati. Leo hii wako tena na lugha yao inakubalika kama lugha rasmi kimkoa pamoja na Kirusi.
 
Wakati Umoja wa Kisovyeti iliporomoka mwaka 1991 na Ukraine kuwa nchi huru rasi ya Krim ilikuwa ndani ya Ukraine kwa hali ya "Jamhuri ya kujitawala ya Krim".[[Jamii:Ukraine| ]][[Jamii:Bahari Nyeusi|K]][[jamii:Rasi za Ulaya]]Baada ya mapindizi ya Ukraine ya mwaka 2014 sehemu ya wakazi wa Krim walikataa mwelekeo mpya wa serikali ya Kiev. Rais wa Urusi Vladimir Putin alitumia nafasi hii kutuma wanajeshi wa Kirusi wasiovaa sare rasmi ndani ya Krim na baada ya kura ya maoni wananchi wengi walipigania kura kujiunga na Urusi. Mwezi wa Machi Urusi ilitangaya eneo la Krim kuwa sehemu ya [[Shirikisho la Urusi]].[[als:Krim]][[an:Peninsula de Crimea]][[ar:القرم (شبه جزيرة)]][[arz:كريميا]][[az:Krım]][[bar:Krim]][[be:Крым]][[be-x-old:Крым]][[bg:Крим]][[bn:ক্রিমিয়া]][[br:Krimea]][[ca:Crimea]][[crh:Qırım]][[cs:Krym]][[da:Krim]][[el:Αυτόνομη Δημοκρατία της Κριμαίας ]][[en:Crimea]][[eo:Krimeo]][[es:Crimea]][[et:Krimm]][[eu:Krimea]][[fa:شبه جزیره کریمه]][[fi:Krim]][[fr:Crimée]][[ga:An Chrimé]][[gl:Crimea]][[got:𐌺𐍂𐌴𐌹𐌼]][[he:חצי האי קרים]][[hi:क्रीमिया]][[hr:Krim]][[hsb:Krim]][[hu:Krím]][[hy:Ղրիմ]][[id:Krimea]][[io:Krimea]][[is:Krímskagi]][[it:Crimea]][[ja:クリミア半島]][[ka:ყირიმი]][[kk:Қырым түбегі]][[ko:크림 공화국]][[krc:Кърым]][[la:Crimaea]][[lbe:Къирим]][[lt:Krymas]][[lv:Krima]][[mr:क्राइमिया]][[ms:Krimea]][[nl:Krim]][[nn:Krimhalvøya]][[no:Krim]][[os:Хъырым]][[pl:Krym]][[pnb:کریمیا]][[pt:Crimeia]][[rmy:Krimeya]][[ro:Crimeea]][[ru:Крым]][[scn:Crimea]][[sco:Crimea]][[sk:Krym]][[sl:Krim, Ukrajina]][[sr:Крим]][[su:Krimea]][[sv:Krim]][[th:ไครเมีย]][[tl:Crimea]][[tr:Kırım Özerk Cumhuriyeti]][[tt:Qırım]][[uk:Кримський півострів]][[ur:کریمیا]][[uz:Qrim]][[vec:Crimia]][[vi:Krym]][[wa:Crimêye]][[war:Crimea]][[zh:克里米亚]][[zh-min-nan:Krym]]