Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 37:
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono kati ya wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya [[Yesu]] na waumini wa leo.
 
==Askofu kati ya Waprotestanti[[==]]
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|150px|right|Askofu [[Janani Luwum]] wa Kanisa la Anglikana la Uganda aliyeuawa na [[Idi Amin]].]]
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]], hasa ya [[Anglikana]], yana[[Wamoravian]] kiongozina anayeitwasehemu askofu,za lakini mamlaka yake[[Walutheri]] ni tofautiyameendelea na ile ya maaskofu[[mlongolo wa Kikatolikimitume]]. naHii waimetokea Kiorthodoksi,hasa kutokanakatika nanchi mtazamokama tofauti sana kuhusu Kanisa[[Uingereza]] na [[sakramentiUswidi]]. Kwa kawaidaambako viongoziwakati wa matengenezo ya Kiprotestanti hawakuwekewamaaskofu mikonokatoliki katikawa [[mlolongoawali walihamia upande wa mitume]]matengenezo na utaratibu wa kiaskofu uliendelea.
 
Hata madhehebu kadhaa mengine ya Kiprotestanti yanatumika cheo cha askofu kuwa kiongozi katika kanisa. Kwa kawaida mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti kuhusu Kanisa na [[sakramenti]].
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]
[[Jamii:Ukristo]]