Barabara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 37:
==Madhara ya ajali==
[[Ajali za barabarani]] husababisha [[nguvu kazi]] ya taifa kupungua; mfano: [[kupoteza maisha]],[[ulemavu wa kudumu]] pia huchangia kupungua kwa [[maendeleo]] na hata huchangia [[nchi]] kushuka kimaendeleo.
 
Pia katika [[jamii]] huleta matatizo mengi na hasara kwa ujumla kutokana na kutumika gharama nyingi wakati wa matibabu na kushusha pato la [[jamii]] kwa ujumla kutokana na kutumia [[fedha]] ili kuwatibu walioathirika na [[ajali]] hiyo
 
==Tanbihi==