Mwanasayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:InvestigadoresUR.JPG|300px|thumb|right|Wanasayansi wa kemia katika [[maabara]] ya [[Chuo Kikuu cha La Rioja]].]]
'''Mwanasayansi''' ni [[mtu]] anayejihusisha na shughuli maalum ili kupata [[maarifa]]. Kwa maana pana zaidi, mwanasayansi anaweza kutajwa kama mtu anayetumia [[mbinu za kisayansi]].<ref>[[Isaac Newton]] (1687, 1713, 1726). "[4] Sheria kwa ajili ya utafiti wa [[Falsafa ya asili]]", ''[[Kanuni za KihhaisabatiKihisabati za Falsafa ya Asili]]'', Toleo la tatu.Scholium kuu yenye sheria 4 inafuata kitabu cha '''3''', ''Mfumo wa dunia''. Iliyochapishwa kwenyekurasakwenye kurasa 794-796 wa tafsiri ya 1999 ya [[I. Bernard Cohen]] na Anne Whitman's, [[Chuo Kikuu cha California press]]kurasa ISBN 0-520-08817-4, 974.</ref> Mtu huyo anaweza kuwa [[mtaalamu]] katika eneo moja au zaidIzaidi ya [[sayansi]].<ref>Kamusi ya Kiingereza ya Oxford, toleo la pili. 1989</ref> Wanasayansi hufanya [[utafiti]] kuelekea uelewa mkubwa zaidi wa [[uasiliuasilia]], ikiwa ni pamoja na [[ulimwengu]] kimwili, kihisabati na kijamii.
 
==Tanbihi==